IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,463
- 7,383
Soma hapo huu kuna MTU kaelezea vizuri tu.
How?
How?
Duuuuuh kumbe? LolNi kweli yuko kwenye mashine wakati familia inajiandaa kwa mazishi kisha watoe go ahead ya kuzima mashine!?
Yaan uzee huo anasaka dents? LolAlikuwa anasaka vimchuchu, anapenda mademu sana..
Huwa najiuliza hili swali hao mademu anawafanya nini, maana naamini huko down hamna kitu, au kushika nyonyoo tu
black sniper
Sky Eclat
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Witness unaifahamu hii familia utafikiri ni wajomba zako
khaaaaaahbest best....udaku kama wote utadhani naishi Buckingham
Labda ana ubia na English royal family mwenzetu😆khaaaaaah
Mkewe ana miaka 95 si haba wamekula chumvi sana
Mama yake Queen uzeeni alionekana ana sura ya Reptilian kweli!!....rumours be it-..hao jamaa ni reptilian hawafi,
Wanaihenyesha dunia watakavyo.
Fafanua mkuu?Prince aliyemtelekeza bimkubwa wake kisa chizi,
Akijitoa ufahamu hatokuja julikana,zari la mental la malkia,kazi yake moja tu,kuzalisha
Long live prince of Mountbatten-Windsor
Huyu jamaa kipindi mwanzoni anamuoa queen elizabeth Alikuwa akifahamu mama yake alipohifadhiwa,ila alichagua kukaa kimya..alikuwa akimuita Bubbins,yani huyo mama yakeFafanua mkuu?
Lizzy kinachomuokoa hapigi gambe kiviile,ndo maana bado mbichiMzee kachakaa lakini Malkia bado bomba!!!
Duuuh, kumbe Magreth alikuwa noma eeh?Huyu jamaa kipindi mwanzoni anamuoa queen elizabeth Alikuwa akifahamu mama yake alipohifadhiwa,ila alichagua kukaa kimya..alikuwa akimuita Bubbins,yani huyo mama yake
Kuna wakuda fulani ndio walikuja gundua,baada ya kumkuta na piece fulani la ki Royal,peleleza wakamgundua,alikuwa akiishi kama nun kwenye kanisa moja hivi huko Greece
Ilikuwa scandal kubwa sana,na aliyeitoa hii Siri Buckingham ni Princes Margaret,ndie pekee alikuwa akiweza kumkofront yeyote hata queen mwenyewe
Yule akatafutwa,akaletwa,queen akajaribu kumuweka sawa na mwanae,wakakaa sawa,history ikaandikwa upya,fahamu kuwa huyu prince philip ametoka kwenye huu ukoo,kijukuu na kijukuu cha Queen Victoria so ni kama cousins wa generations kama tatu hivi imepita.
What you need to know about Princess Alice of Battenberg, Prince Philip's tragic, heroic mother | CNN
Netflix's regal drama "The Crown" has shed light on the tragic, yet heroic, life of one of the lesser-known royals: Prince Philip's mother, Princess Alice of Battenberg.edition.cnn.com
Aiseee sasa nimejua Prince William na Prince Harry zile Sura wametoa wapiView attachment 1709793
Kweli ujana ni huu huu.
BTW jamaa akifa malkia sidhani kama atakaa sana maana wako connected sana.
Mungu awajalie uhai
Wamekuwa pamoja na queen so ni jambo la kawaida,ila Margaret amekuwa akiishi maisha ya kipekee sana,ndio hata sasa unamuona prince harry anavyoishi,kama Baba mkubwa wao king 🤴 Edward
Ni mijus ioMkuu nipe maelezo zaidi kuhusu reptilian.Maana hua naiskia tu
Ivi kumbe Elizabeth ndo mkubwa dah nilijichanganya aisee...Mkubwa ni Elizabeth
....rumours be it-..hao jamaa ni reptilian hawafi,
Wanaihenyesha dunia watakavyo.