Kasri la Malkia Elizabeth limeanza kujiandaa na kifo cha Prince Philip

Fafanua mkuu?
Huyu jamaa kipindi mwanzoni anamuoa queen elizabeth Alikuwa akifahamu mama yake alipohifadhiwa,ila alichagua kukaa kimya..alikuwa akimuita Bubbins,yani huyo mama yake

Kuna wakuda fulani ndio walikuja gundua,baada ya kumkuta na piece fulani la ki Royal,peleleza wakamgundua,alikuwa akiishi kama nun kwenye kanisa moja hivi huko Greece

Ilikuwa scandal kubwa sana,na aliyeitoa hii Siri Buckingham ni Princes Margaret,ndie pekee alikuwa akiweza kumkofront yeyote hata queen mwenyewe

Yule akatafutwa,akaletwa,queen akajaribu kumuweka sawa na mwanae,wakakaa sawa,history ikaandikwa upya,fahamu kuwa huyu prince philip ametoka kwenye huu ukoo,kijukuu na kijukuu cha Queen Victoria so ni kama cousins wa generations kama tatu hivi imepita.

Duuuh, kumbe Magreth alikuwa noma eeh?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wamekuwa pamoja na queen so ni jambo la kawaida,ila Margaret amekuwa akiishi maisha ya kipekee sana,ndio hata sasa unamuona prince harry anavyoishi,kama Baba mkubwa wao king 🤴 Edward

huu ukwini umemuangukia Elizabeth kama zari tu na yeye,sababu Baba yake (marehemu) king George aliupata hivyo hivyo

Hii ni kutokana na King mwenyewe aliepaswa,king Edward alivyompenda mwanamke ambaye alishaolewa,kanisa likagoma kufungisha ndoa ya pili,mzee akaona bora mke kuliko uking

Ndio ukaangukia kwa late king George,na mwanae wa kwanza ni Elizabeth
 
Back
Top Bottom