Elections 2010 Kasoro za NEC 2010 election

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,358
2,331
Watanzania tuamke,kasoro hizi zilikusudiwa kabisaaa
1. Iweje karatasi ya kupigia kura isiwe na serial number ili ioane na ile inayobaki katika kishina cha kitabu? maana ikitokea inahitajice re-counting na cross checks je utahakiki vipi?Huu ni ujanja wa kupenyeza kura zilizopigwa tayari kwa kuwa hazitofautiani na zile halisi!!
2.Kulazimishwa kupiga kura ktk kituo ulichoandikisha ni udikteta hasa katike ulimwengu huu wa teknohama ina maana siku ya kura nchi inasimama? Je b'cuse of the election..
No Tranfers
No Vacations
No Illness
No Funerals
No Travelling etc
why usipige popote na ukimaliza kadi yao wai-punch kuonyesha u have voted na hii ni kwa kura muhimu ya URAIS??
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom