Kasoro: Mkuu anatembea, Mtendaji anatembea, viranja wamekaa

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,864
3,851
Mkuu na mtendaji wote wako barabarani wakitembea. Cha ajabu Viranja husika wamekaa wametulia, wamekuwa wapenzi watazamaji. Wapo kama hawapo. Na wakiwepo wanapokea amri na maelekezo hadharani.

Hii inaonesha muunganiko wa ndani wa kiuongozi na kiutendaji una kasoro. Japo tunaaminishwa ni kuwafikia watawaliwa, lakini kelele majukwaani zinaonesha mkwamo.
 
One man show ina shida sana, tatizo lingine ni kupeana vyeo ki ukada, mtu anapewa kazi eti kwa sababu anajua kuwatukana wapinzani, wewe unategemea atafanya nini?
 
Mkuu na mtendaji wote wako barabarani wakitembea. Cha ajabu Viranja husika wamekaa wametulia, wamekuwa wapenzi watazamaji. Wapo kama hawapo. Na wakiwepo wanapokea amri na maelekezo hadharani.

Hii inaonesha muunganiko wa ndani wa kiuongozi na kiutendaji una kasoro. Japo tunaaminishwa ni kuwafikia watawaliwa, lakini kelele majukwaani zinaonesha mkwamo.
Kuna kiranja gani aliekaa?
Magufuli yupo na mawaziri wasiopungua 8 kwenye ziara yake
Acha majungu
 
Back
Top Bottom