Kasoma mpaka mwisho wa shule !

Lkn tuwe realistic kama GT..hivi kwa facult ambayo mtu huchukua kusomea..level ya juu kabisa ni ipi?
Watu wanafanya hiyo kama kete ya kukataa ukweli kuwa jamaa yuko vizur..kwa woote walotangaza ndani ya ccm huyu profesa yuko vizur.anasema anachokijua na anaongea vitu kwa facts..shida wengi tumezoea kupakwa mafuta ya kisiasa na kupayuka maneno mengi ndo mtu aonekane anafaa..ingekuwa maamuz yngu ni ya wote huyu muhongo anafaa sana kuwa rais..bas tu pesa na rushwa ndo zitatawala mwishowe atapigwa chini
 
Back
Top Bottom