Kaslimanzira Hata India Wapo Wakiwaongoza Jopo la Wenye Immani Haba Kwa Mungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaslimanzira Hata India Wapo Wakiwaongoza Jopo la Wenye Immani Haba Kwa Mungu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Uwezo Tunao, Feb 25, 2011.

 1. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #1
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Akina mama waliochelewa bahati ya kujaliwa watoto hujilazo kifudifudi na kumwagiwa mi-unga na mbegu mbegu kisha watoto kuaminika kumiminika. Hii ni somo la Baolojia inayohitaji utafiti wa kina pindi mama kama huyu anapopata mtoto kutokana na unga na mbegu mbegu.
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Feb 25, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kumbe ndio maana mtu kila unapopita karibu na ki-Mbuyu fulani karibu barabara ya Kenyatta kule kwa wakubwa Masaki utawaku wametapakaa na magari makubwa makubwa yakiwa yameegeshwa pembeni
   
Loading...