Kasi ya utendaji wa Rais Magufuli yasababisha idadi ndogo ya wananchi kujitokeza kujiandikisha uchaguzi Serikali za Mitaa

Maendeleo na yanayoletwa kutonana na utendaji na usimamizi mzuri wa mapato na mali ya umma katika awamu hii ya Tano chini ya rais John P Magufuli imekuwa sababu ya wananchi kuona kuwa haina haja ya kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Wananchi wengi wanaona kuwa wapige kura wasipige kura serikali ya awamu ya tano itatekeleza maendeleo wanayoyataka.Picha iliyopo kwa wananchi wengi ni kuwa haina haja ya kupoteza muda wakati maendeleo na usimamizi wa mapato ya serikali utakuwepo hata kama wapige kura au wasipige.

Kwa ufupi rais JPM amewapa imani kubwa sana wananchi juu ya namna alivyoleta maendeleo kwa muda mfupi na kudhibiti wapiga deals.Leo hii maeneo kama Yombo Vituka na Buza kuna vituo vya afya vikubwa vimekamilika kujengwa.Hivyo hawa wataogombea nafasi serikali za mitaa ni kama kukamilisha matakwa ya sheria tu.

Ila imani kubwa kwa wananchi ni kwa JPM ambae analeta maendeleo bila ya kubagua chama au mtu.
Pumbavu
 
Kuna watu sijui wakiandika hawashirikishi ubongo? Sasa uchaguzi huu wa serikali za mitaa Una uhusiano gani na JPM? Raia inawezekana hawana uelewa kuhusu viongozi wanaochaguliwa katika chaguzi za serikali za mitaa
 
Yaani mtu anae mteua waziri wa Tamisemi .Serikali za mitaa hazimhusu! .Tanzania yangu hii!
 
Maendeleo na yanayoletwa kutonana na utendaji na usimamizi mzuri wa mapato na mali ya umma katika awamu hii ya Tano chini ya rais John P Magufuli imekuwa sababu ya wananchi kuona kuwa haina haja ya kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Wananchi wengi wanaona kuwa wapige kura wasipige kura serikali ya awamu ya tano itatekeleza maendeleo wanayoyataka.Picha iliyopo kwa wananchi wengi ni kuwa haina haja ya kupoteza muda wakati maendeleo na usimamizi wa mapato ya serikali utakuwepo hata kama wapige kura au wasipige.

Kwa ufupi rais JPM amewapa imani kubwa sana wananchi juu ya namna alivyoleta maendeleo kwa muda mfupi na kudhibiti wapiga deals.Leo hii maeneo kama Yombo Vituka na Buza kuna vituo vya afya vikubwa vimekamilika kujengwa.Hivyo hawa wataogombea nafasi serikali za mitaa ni kama kukamilisha matakwa ya sheria tu.

Ila imani kubwa kwa wananchi ni kwa JPM ambae analeta maendeleo bila ya kubagua chama au mtu.
Nonsense!!.... Mijizi ya kura!
 
Waliokuwepo waendelee mbaka 2030, akifa mtu ndio tufanye uchaguzi
Sioni cha maana chochote kutoka kwa wanasiasa hawa wa ngazi za chini, hata wabunge sioni tija kwa uwepo wao..
 
Mimi nikasema anayekuja atakuwa anafanya vibaya kuliko Kikwete, kwa sababu Kikwete anaweka msingi wa ajaye.

Sio lazima iwe hivyo, yaweza pia ikawa kinyume chake kwani huyo ajaye anaweza kuepuka makosa ya aliyemtangulia baada ya kuona na kusikia vilio vya jamii, yaani, one may learn from someone's mistakes.

Yetu dua kwa Mungu, 🤣🤣
 
Kizazi cha nyoka tabu sana! Yaani bia za wakati wa Iddi Amin unaweza linganisha na bia wanazokunywa wabongo kwa amani na kujinafasi! Au utawala wa Iddi Amini unaweza kulinganisha na utawala wa sasa Tz!

Una tofauti gani?
 
Mna spin habari.

Watu wanasusia uchaguzi kwa sababu wanaona hauna maana, wanaochaguliwa hata wakiwa wa upinzani, CCM inawarubuni na kuwanunua na kuwafanya wawe ndani ya CCM.

Hivyo wananchi wamepiga kura ya kutokuwa na imani na chaguzi hizi, kwa kutojiandikisha.

Wangekuwa wana support CCM wangejiandikisha kwa wingi kuipigia kura CCM.

Moja ya jinsi uchaguzi unavyotathiminiwa ni kuangalia watu walioshiriki uchaguzi.

Low voter participartion, means low credibility.

Watu wamesusia uchaguzi. Kwa sababu wanaona ni mazingaombwe ya kijinga tu.
Naona wanakuja kivingine
Juzi Kati mh mmja Alisema sababu ya watu kitojiandikisha ni kutokana na mvua kubwa

Ova
 
Mna spin habari.

Watu wanasusia uchaguzi kwa sababu wanaona hauna maana, wanaochaguliwa hata wakiwa wa upinzani, CCM inawarubuni na kuwanunua na kuwafanya wawe ndani ya CCM.

Hivyo wananchi wamepiga kura ya kutokuwa na imani na chaguzi hizi, kwa kutojiandikisha.

Wangekuwa wana support CCM wangejiandikisha kwa wingi kuipigia kura CCM.

Moja ya jinsi uchaguzi unavyotathiminiwa ni kuangalia watu walioshiriki uchaguzi.

Low voter participartion, means low credibility.

Watu wamesusia uchaguzi. Kwa sababu wanaona ni mazingaombwe ya kijinga tu.
mwenye akili yake timamu haweze kwenda kupoteza time zake kwa akili ya ujinga wa kura za serikali ya mitaa wakati CCM masanduku ya kura washayajaza kura toka mwezi wa july
 
Maendeleo na yanayoletwa kutonana na utendaji na usimamizi mzuri wa mapato na mali ya umma katika awamu hii ya Tano chini ya rais John P Magufuli imekuwa sababu ya wananchi kuona kuwa haina haja ya kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Wananchi wengi wanaona kuwa wapige kura wasipige kura serikali ya awamu ya tano itatekeleza maendeleo wanayoyataka.Picha iliyopo kwa wananchi wengi ni kuwa haina haja ya kupoteza muda wakati maendeleo na usimamizi wa mapato ya serikali utakuwepo hata kama wapige kura au wasipige.

Kwa ufupi rais JPM amewapa imani kubwa sana wananchi juu ya namna alivyoleta maendeleo kwa muda mfupi na kudhibiti wapiga deals.Leo hii maeneo kama Yombo Vituka na Buza kuna vituo vya afya vikubwa vimekamilika kujengwa.Hivyo hawa wataogombea nafasi serikali za mitaa ni kama kukamilisha matakwa ya sheria tu.

Ila imani kubwa kwa wananchi ni kwa JPM ambae analeta maendeleo bila ya kubagua chama au mtu.
Wananchi wasio CCM waliitwa malofa wapumbavu... kisha "betri na gunzi" sasa "wadudu!!!" Kadri fisiemu inavyoendelea kuwadharau na kuwachoka watanzania ndivyo na watanzania wanavyozidi kuichoka na kuidharau serikali ya fisiemu. Haikutosha kuwanyima ajira na kuwatia umaskini, ujinga na maradhi sasa ni kuwatusi na kuwakejeli kana kwamba WAO NDIO WATAKATIFU HUKU NDIO WALIOFILISI NCHI NA SASA JAHAZI WANALIPELEKA MWAMBANI KWA KASI YA AJABU HUKU WANAFIKI WAKISHANGILIA NA WANAOIONA HATARI ILE WAMEANZA KUTOA TAHADHARI...
MUNGU ATUNUSURU...
 
Sasa kama ni hivyo kwa nini Wakuu wa Mikoa wanalazimisha watu kujiandikisha kwa nguvu na makelele ya matangazo kila baada ya nusu saa?
Maendeleo na yanayoletwa kutonana na utendaji na usimamizi mzuri wa mapato na mali ya umma katika awamu hii ya Tano chini ya rais John P Magufuli imekuwa sababu ya wananchi kuona kuwa haina haja ya kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Wananchi wengi wanaona kuwa wapige kura wasipige kura serikali ya awamu ya tano itatekeleza maendeleo wanayoyataka.Picha iliyopo kwa wananchi wengi ni kuwa haina haja ya kupoteza muda wakati maendeleo na usimamizi wa mapato ya serikali utakuwepo hata kama wapige kura au wasipige.

Kwa ufupi rais JPM amewapa imani kubwa sana wananchi juu ya namna alivyoleta maendeleo kwa muda mfupi na kudhibiti wapiga deals.Leo hii maeneo kama Yombo Vituka na Buza kuna vituo vya afya vikubwa vimekamilika kujengwa.Hivyo hawa wataogombea nafasi serikali za mitaa ni kama kukamilisha matakwa ya sheria tu.

Ila imani kubwa kwa wananchi ni kwa JPM ambae analeta maendeleo bila ya kubagua chama au mtu.
 
Dunia nzima uchaguzi ambao watu wameugomea unakosa uhalali.

Ndiyo maana sehemu nyingine ambapo uchaguzi ni maigizo wapinzani wanasusia uchaguzi
Na mimi na sema kususia uchaguzi ni hujuma kwa usalama wa nchi. Hii hapa chini nilikuwa namjibu MwanaJF mmoja anayehimiza watu kususia zoezi la uandikishaji.
====
Ninyi mnashangaza kweli, mwajitapa kutoshiriki uandikishaji....lakini bado mko na hamu ya kujua kinachoendelea vituoni....!!! Yaani kutokujiandikisha ndiyo mbinu yenu mpya ya kuaminiwa na wananchi kupewa madaraka ya nchi hii, kweli!? Mtu aliyesusa hajishughulishi na jambo alilosusia!!!

Hivi ninyi mkifunguliwa mashitaka ya kuhujumu zoezi halali la mchakato wa wananchi kujichagulia viongozi halali tena kwanjia ya haki na demokrasia, mtalalamika mmeonewa kweli!?

Mnachokifanya ni hujuma dhidi ya nchi ni uhaini, mnataka nchi iingie kwenye mgogoro wa kikatiba na kuamsha vurungu ndani ya nchi, kuchafua amani ya nchi. Kitendo cha kuhimiza watu kutoshiriki zoezi halali la kutafuta viongozi wao wakusaidiana nao kujiletea maendeleo ni "ni kosa la ki-Uhani".Kuna haja ya kupitia vifungu vya sheria kuwashughulikia wote wanaoshiriki kuvuruga zoezi hili halali.
 
Na mimi na sema kususia uchaguzi ni hujuma kwa usalama wa nchi. Hii hapa chini nilikuwa namjibu MwanaJF mmoja anayehimiza watu kususia zoezi la uandikishaji.
====
Hayo ni mawazo ya kizamani, kikomunisti, kishamba na kikondoo.

Kama kupiga kura ni haki ya kikatiba, kutopiga kura nako ni haki ya kikatiba.

Ni sawa na katiba inavyotoa uhuru wa kuabudu dini yoyote, na kutoabudu kivyovyote.

Sasa hapo ukitaka kulazimisha watu waabudu, kwa sababu katiba imetoa uhuru wa kuabudu, utatuvunjia haki yetu ya kikatiba ya kutoabudu sisi tusiotaka kuabudu kivyovyote.

Waachieni wasiotaka kupiga kura wasipige kura bila bugudha.

Kwa sababu hata kutopiga kura nako kunaweza kuwa ni kupiga kura ya kutokuwa na imani na mfumo wa kupiga kura.

Sasa, ukilazimisha watu wapige kura, unawalazimisha wasipige kura yao ya kutokuwa na imani na mfumo wa kupiga kura, kwa kutopiga kura.

Kuhusu kufuatilia kura wakati hujapiga kura, hakuna sehemu ambapo kuna sheria kwamba ili ufuatilie habari za kura ni lazima uwe umepiga kura.

Watu wanaweza kususia kupiga kura na kuandika makala za kusema upigaji kura ni ujinga kwa sababu serikali inabadili matokeo kwa mfano.

Na huo si uhujumu wala uhaini, kama kweli serikali inaiba kura, huo utakuwa ni uzalendo.

Uhujumu na uhaini utakuwa ni kuitetea serikali hiyo.
 
Back
Top Bottom