Eti unapanga foleni kuchagua mtu aliye jiudhuru ubunge kisha akarudi kugombea ubunge!, ............... .. watu wazuiwa kuchangia damu, kisa wamejitanabaisha kuwa ni wa itikaka ya chama flani!!!...........ujinga ni mwingi sana ulofanywa awamu hiiKesi ya msingi ya Mbowe na Esther Matiko kuwekwa ndani ilikuwa maandamano ya kupinga mwenendo na matokeo ya uchaguzi wa marudio Kinondoni.
Sasa kwa michezo ile ya kuigiza wanataka tena tujiandikishe kupiga kura.