Kasi ya utendaji wa Kassim Majaliwa imepungua sana, sio kama wakati wa Hayati Dkt. Magufuli

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,087
6,568
Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka.

Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo.

Kwa ufupi naona kama alikuwa ameendana na kasi ya mwendazake. Ndio maana ilikuwa ukisikia rais yupo mahala fulani moto unawaka huku waziri mkuu akikolozea moto. Kwa ujumla waliweka mambo sawa, kuanzia tumbuatumbua, dhibiti rushwa na hata dhibiti uzembe.

Nini kimemsibu sasa hivi mpaka amepunguza kasi aliyokuwa nayo?
 
Mzee Picco hana masjabu tena korosho alibaniwa haba jipya....sasa amebakia kuwa mtabiri wa nyota.....
 
Duniani mambo mengine yapo pamoja tu na hayawezi kuwa pair. Kiufupi haendani na bibi tozo
 
Kassim Majaliwa na Magufuli wote ni Matapeli wa kisiasa hakukuwa na kasi yeyote ila kwa kihaya wanasema KUTOMELA Yaan kuvamia mambo bila mahesabu ndo mnaita kasi? Kasi gani mnasema labda ipi kuna nini kimefanyika kutuibia kwenye manunuzi ya ndege zile ten percent au nini? Kasi gani yani ya wapi yani na lini
 
Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka.

Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo.

Kwa ufupi naona kama alikuwa ameendana na kasi ya mwendazake. Ndio maana ilikuwa ukisikia rais yupo mahala fulani moto unawaka huku waziri mkuu akikolozea moto. Kwa ujumla waliweka mambo sawa, kuanzia tumbuatumbua, dhibiti rushwa na hata dhibiti uzembe.

Nini kimemsibu sasa hivi mpaka amepunguza kasi aliyokuwa nayo?
Sasa kama mkumbwa wako kakuwekea spidi gavana utafanyaje, uliza mbona nae makamu hatumuoni kukata tepe?
 
Kasimu kapumzika kuvuta pumzi, alikuwa anapelekeshwa na kufokewa mno…. kingine yupo kinyume kabisa na regime ya Samia.
 
Kasi ya kiutendaji niiyonayo kwa Majaliwa ni Kupaka piko na kuchonga nywele basi...hizo nyingine ni sarakasi ambazo sasa amepumzika kuzifanya
 
Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka.

Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo.

Kwa ufupi naona kama alikuwa ameendana na kasi ya mwendazake. Ndio maana ilikuwa ukisikia rais yupo mahala fulani moto unawaka huku waziri mkuu akikolozea moto. Kwa ujumla waliweka mambo sawa, kuanzia tumbuatumbua, dhibiti rushwa na hata dhibiti uzembe.

Nini kimemsibu sasa hivi mpaka amepunguza kasi aliyokuwa nayo?
Thread 'Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?' Fikra Pevu: Umewahi kumpima January Makamba katika Nafasi ya Uwaziri Mkuu?
 
Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka.

Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo.

Kwa ufupi naona kama alikuwa ameendana na kasi ya mwendazake. Ndio maana ilikuwa ukisikia rais yupo mahala fulani moto unawaka huku waziri mkuu akikolozea moto. Kwa ujumla waliweka mambo sawa, kuanzia tumbuatumbua, dhibiti rushwa na hata dhibiti uzembe.

Nini kimemsibu sasa hivi mpaka amepunguza kasi aliyokuwa nayo?
Ana vijakazi wakutosha. Boss hafanyi kazi wewe.
 
Kushawishiwa Kwake Kipumbavu na Sukuma Gang na Kuwaamini akidhani watambeba ndani ya CCM kwa Urais wa 2025 ndiko Kumemponza kwa Bi. Hangaya.
 
Sio kweli Kasi ipo palepale inamaana anayoyafanya huyaoni kweli?
Juzi tu alivamia Bandari na kugundua maovu mpaka leo mHe. Rais kuamua kumsimamisha kazi Kakoko na leo hi kapandishwa mahakamani.
Ila sisi WaTz Ni wepesi Sana ku forget
 
Back
Top Bottom