Kasi ya mabadiliko 2015 ,ilienda na upinzani na kuacha ccm!

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
,siku zote tunajua kazi kuu ya upinzani nchi yoyote ni kuichallenge serikali katika maendeleo sio kukwamisha maendeleo,
tunajua wazi dhamira ya kuanzishwa kwa vyama vingi ni kuleta hoja mbadala zenye lengo la kukuza uchumi wetu sio kudidimiza uchumi wetu, kama tunavyoona sasa wapinzani wakiomba tususiwe na jumuiya za kimataifa.

Wapinzani wanatakiwa wapinge rushwa sio kuwa maagent wa wala rushwa.kama tunavyoona sasa wanavyowatetea wala rushwa na wahujumu uchumi

Upinzani wa kweli hautakiwi kuendeshwa kwa matukio bali kwa hoja na sera kwa vitendo mtawafanyia nini watanzania mkiaminiwa kwa kuleta maendeleo kwenye majimbo mitaa na halmashauri zao na si kwa uwezo wa kuropoka na kutukana viongozi wa serikali kama tunavyoshuhudia sasa

Kiukweli katika maisha yangu na dunia kwa ujumla sijawahi kuona wala kusikia upinzani wa hovyo zaidi kama ninao uona kipindi hiki Tanzania.

From

Kada wa Ukawa
 
Kuwa na akili sio kuwa na kichwa kikubwa,mmesahau kuwa mlisema nchi ni tajiri wala hamhitaji misaada ya wazungu?
Tuwaeleweje sasa kwa maana nyingine hamjui mnataka nini wala hamjui mnatupeleka wapi.
 
Damu ya msaliti wa nchi haina hatia
 
Back
Top Bottom