sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,325
- 2,488
Kasi ya Waziri Mkuu Dr. Kassimu Majaliwa imekwenda wapi? Majipu yamekwisha? TAMISEMI ipo chini ya ofisi yake, mbona hakujaguswa kabisa?
Kuna ishu ya shule za binafsi kupangiwa viwango vya kutoza ada, kuna ishu ya Wakuu wa Shule ambao walikaimishwa shule za msingi na Sekondari huku hawana uwezo wala sifa za kuongoza shule hizo.
Wakuu hao huzuga na somo moja la kufundisha kama kiswahili ama lile somo la kufundisha kupiga pasi ila ukiangalia vyeti walivyo navyo utakuta wengine ni vya mgambo na hawajajiendeleza.
Kuna ishu za bodi za shule zilizojaa wanasiasa na wachungaji ambao hawana muda wa kuangalia shule hizo wala kushauri ama kuwajibisha. Ingefaa katika bodi kuwe na wajumbe wawili ama watatu ambao ni wanajeshi waliostaafu ama wanakaribia kustaafu ili kulinda nidhamu hasa kwa shule zile kubwa.
Shule hizo zimejaa wakuu wa shule ambao ni majipu kwakuwa waliwekwa kisiasa na wanasiasa ili wapenyezee huko mambo yao. Hawa ndio chanzo cha matokeo mabaya. Ni vema vigezo vya taaluma ya ualimu vikazingatiwa kwa kila shule hasa kwa Wakuu wa Shule. Hivi mkuu wa shule ambaye ana certificate ataongoza vipi shule