Kashifa nzito jeshi la polisi

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,842
f53d83bcd5d08008e56253b450cbe9e5.jpg

Kumbe wanatupwa uko kila siku.

Sasa kama watu wameshawaona kila Mala maana yake nini?

Hivi kuangaika na Lema na Max wakati watu wanakufa maana yake nini?..

Wanaokufa ni wakina nani na wanatoka wapi?

Ben Saanane yupo wapi?

Police acheni siasa fanyeni mambo ya msingi.
 
Watalipa siku ya Hukumu..

Wapuuzi kabisa- wanamihemko ya kisiasa tuu, mpaka wanakera.
 
f53d83bcd5d08008e56253b450cbe9e5.jpg

Kumbe wanatupwa uko kila siku.

Sasa kama watu wameshawaona kila Mala maana yake nini?

Hivi kuangaika na Lema na Max wakati watu wanakufa maana yake nini?..

Wanaokufa ni wakina nani na wanatoka wapi?

Ben Saanane yupo wapi?

Police acheni siasa fanyeni mambo ya msingi.
Maji ya mto ruvu ndo hayo hayo tunatumia dsm
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom