technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,843
Kumbe wanatupwa uko kila siku.
Sasa kama watu wameshawaona kila Mala maana yake nini?
Hivi kuangaika na Lema na Max wakati watu wanakufa maana yake nini?..
Wanaokufa ni wakina nani na wanatoka wapi?
Ben Saanane yupo wapi?
Police acheni siasa fanyeni mambo ya msingi.