Kashfa ya Uchakachuaji wa matokeo ya mitihani Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

Uzalendi

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
221
170
Kashfa ya Uchakachuaji wa matokeo ya mitihani Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-Chanzo ni Gazeti la Jamhuri la tarehe 31/12/2013. Kashfa hii imetokea kwa tawi la Chuo Zanzibar na Dar. Wito unatolewa kwa Wizara ya elimu kuchunguza na kuchukua hatua kwa suala hili maana ni aibu kwa elimu ya nchi yetu.
 
mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,532
1,250
Hiki Chuo kina kashfa nyingi hadi inakera. Wahusika wachukue hatua haraka ili kuepuka madhara zaidi ya kuwapata wataalamu vihiyo.
 
Uzalendi

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
221
170
Hiki Chuo kina kashfa nyingi hadi inakera. Wahusika wachukue hatua haraka ili kuepuka madhara zaidi ya kuwapata wataalamu vihiyo.

Ni vizuri mafisadi wote wa elimu na rasilimali za umma walio pale waondoshwe ili Chuo kiwe na watumishi waadilifu.
 
Uzalendi

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
221
170
Vituko katika taasisi za elimu Tanzania.
Kashfa ya Uchakachuaji wa matokeo ya mitihani Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere-Chanzo ni Gazeti la Jamhuri la tarehe 31/12/2013. Kashfa hii imetokea kwa tawi la Chuo Zanzibar na Dar. Wito unatolewa kwa Wizara ya elimu kuchunguza na kuchukua hatua kwa suala hili maana ni aibu kwa elimu ya nchi yetu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom