Kashfa ya Richmond: The FACTS

Namsikitikia sana , Msabaha.
Waziri Msabaha alitumbukizwa na wakubwa zake kwenye kashfa ya Richmund na kulazimika kujiuzuru.
Msabaha ni kati ya viongozi bora kabisa niliowahi kufanya nao kazi.
Lowasa akamwingiza kwenye kashfa ya Richard wa Monduli
Richmund na kumpoteza kabisa Msabaha.
Kwa Msabaha tumepoteza jembe lenye nidhamu ya kweli katika utendaji kazi.
Pole Bosi wangu Msabaha ndo kazi za siasa zilivyo.
Zinaendana na upepo unavyovuma.
Nakukumbuka sana Bosi wangu Msabaha, tangu uliponiajiri nikiwa kijana mdogo kabisa Fresh from School.
 
Hili ndio jukwaa la Intelligence halisi. Watu walijadili mambo kwa mapana na ukwandani hasa yaliyohusu mustakabali wa nchi yetu. Watu walijua issues za ndani kabisa serikalini Wapi [HASHTAG]#Fmess[/HASHTAG] [HASHTAG]#Gametheory[/HASHTAG] [HASHTAG]#Jasusi[/HASHTAG] # . Siku hizi ukichungulia humu unakutana na stori zilizofasiriwa tuu,mara kifo cha kennedy,mara uislam hivi,Ukristo vile,tafrani tupu,Naona ktk ile timu ya enzi zile ni mzee mwanakijiji peke yake ndio yupo yupo kwa sana. Hili jukwaa limevamiwa kwakweli.
 
Namsikitikia sana
Msabaha.
Waziri Msabaha alitumbukizwa na wakubwa zake kwenye kashfa ya Richmund na kulazimika kujiuzuru.
Msabaha ni kati ya viongozi bora kabisa niliowahi kufanya nao kazi.
Lowasa akamwingiza kwenye kashfa ya Richard wa Monduli
Richmund na kumpoteza kabisa Msabaha.
Kwa Msabaha tumepoteza jembe lenye nidhamu ya kweli katika utendaji kazi.
Pole Bosi wangu Msabaha ndo kazi za siasa zilivyo.
Zinaendana na upepo unavyovuma.
Nakukumbuka sana Bosi wangu Msabaha, tangu uliponiajiri nikiwa kijana mdogo kabisa Fresh from School.
Msabaha ni ministerial responsibility iliyo muondoa
 
Back
Top Bottom