Kashfa ya ngono UDOM - Dodoma

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
CHUO KIKUU cha Dodoma UDOM kinadaiwa kukumbwa na kashfa ya ngono kufuatia madai kwamba baadhi ya wananafunzi wa kike wanajihusisha na biashara ya kuuza miili yao kwa lengo la kujikimu kimaisha.

Tuhuma hizo zimebainika wakati wa mahafali ya tatu ya UDOM huku takribani wahitimu 6392 wakitunukiwa vyeti, stashahada, shahada za kwanza, uzamili na shahada za uzamivu.

Chuo Kikuu cha Dodoma ambacho kilianzishwa rasmi mwezi machi mwaka 2007 kimejipatia sifa kemkem za kitaaluma licha ya ukweli kwamba bado ni kigeni machoni pa wengi.

Tuhuma za ngono miongoni mwa wanafunzi wa kike zinadaiwa kusababishwa na ukata hatua inayowalazimu kutoroka chuoni nyakati za usiku na kujiunga na baadhi ya wasichana wa mitaani waliokubuhu kwenye ukahaba maarufu kama machangudoa kwa lengo la kujiuza.

Baadhi ya wahitimu wanathibitisha uwepo wa vitendo hivyo vilivyo kinyume na maadili.

Kutokana na kukithiri kwa vitendo hivyo Makamu Mkuu wa Chuo hicho Prof. Idris Kikula anatoa onyo kali kwa wote watakaobainika.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amenukuliwa kwa nyakati tofauti akisisitiza suala la maadili chuoni hapo hatua inayodaiwa kupuuzwa na wanaojihusisha na vitendo hivyo.
 
Kwa jinsi ninavyowajuwa waheshimiwa wetu (mawaziri, wabunge) lazima watalazimisha wanafunzi wasiwe wanapata hela za mikopo ili wawe na ukata matokeo yake wao wawe wanajilia kiulaiiini huku wakiwapa magonjwa. Na siku hizi waheshimiwa wetu wamekuwa mastering wa sinema za porn maana wanapenda kunyonywa na ku abuse hawa wasichana.
 
Huo ni ujuha na uzuzu wa kuamini ujinga kama huu wa mleta mada! Kila siku UDOM 2 tumechoka bhana na uwendawazimu kama huu wa kusingizia UDOM na wakati 80% ya mabinti wa UDOM wameokoka na wengine ni maustadhat wazuri na washika dini so habar za umalaya haziwei kuwa UDOM.
Ila umalaya umeshamiri sana huko huko kwa vilaza na wavivu wa kufikiri UDSM mnaofanya ufuksa wenu mabibo hostel hasa hasa, Pia uchafu na ushetwani wa kila aina upo kwa mazuzu na majuha UDSM ila sio kwa critical thinker na makamanda wa ukweli wa UDOM.
 
kumbe uko chuo cha mtaan,ndio maana unapondea udsm,
rejea uzi wako wa kuilaan udsm hadi kufa kwako,
 
form 6 kumbe upo kwenye chuo cha kata UDOM,ndio maana hata sayansi ya kuandika habari ni doro.Taarifa hii ya ukahaba rejea taarifa yahabri ya star tv jana saa mbili usiku na picha kumwaga na mwandishi Magoha.
 
Last edited by a moderator:
Huo ni ujuha na uzuzu wa kuamini ujinga kama huu wa mleta mada! Kila siku UDOM 2 tumechoka bhana na uwendawazimu kama huu wa kusingizia UDOM na wakati 80% ya mabinti wa UDOM wameokoka na wengine ni maustadhat wazuri na washika dini so habar za umalaya haziwei kuwa UDOM.
Ila umalaya umeshamiri sana huko huko kwa vilaza na wavivu wa kufikiri UDSM mnaofanya ufuksa wenu mabibo hostel hasa hasa, Pia uchafu na ushetwani wa kila aina upo kwa mazuzu na majuha UDSM ila sio kwa critical thinker na makamanda wa ukweli wa UDOM.
Wewe kilaza vipi umeshajiunga Syria University? Hii habari ya umalaya wa wana Udom imesemwa na VC wa Udom, UDSM inaingiaje hapa?
 
form 6 kumbe upo kwenye chuo cha kata UDOM,ndio maana hata sayansi ya kuandika habari ni doro.Taarifa hii ya ukahaba rejea taarifa yahabri ya star tv jana saa mbili usiku na picha kumwaga na mwandishi Magoha.
Hili jamaa ni kilaza la kufa mtu. Kama Mwanachuo anafundishwa na Tutorial Assistant toka First year mpaka Graduation atapata wapi uwezo wa kuchambua mambo kama msomi? Kweli tuna safari ndefu sana...
 
No disrespect, lakini nlivoskiaga mie ni kwamba UDOM ni sehemu ya "huduma za kijamii za waishiwa wabunge"..eti ili "wasitaabike" wakati wa kazi "nzito" za kulala na sanaa za maonesho pale bungeni..mwe!
 
Tabia zingine nadhani ni hulka za watu, Kila chuo kinasemwa kwamba hao watu wapo, wengine hata sio wanafunzi ila wanajichanganya na wanafunzi au maeneo ya wanafunzi ili wajiongezee soko. Mjini shule.
 
Hili jamaa ni kilaza la kufa mtu. Kama Mwanachuo anafundishwa na Tutorial Assistant toka First year mpaka Graduation atapata wapi uwezo wa kuchambua mambo kama msomi? Kweli tuna safari ndefu sana...

Acha uongo na uzush wewe! Kwa hyo hcho chuo hakina ma dr wala ma prof? Mbona wapo wa ndan na nje ya nchi? Uzush mwngne bhana!?.Usimsifie baba mkwe wako sifia mkeo.Uwe unatoka udsm,mzumbe,sua,muce,muccobs,makumira,saut,dit haijalishi,2nataka kujua una nin kchwani na kinasaidiaje jamii?Et ooh mim udsm ooh mim sua mara mzumbe.Ya nin hayo?.Mbona wapo weng tu wanaojiita wametoka vyuo vikongwe had sasa wanasota tu kitaa?You must thnk critically!
 
Serikali dhaifu, usipompa mtoto mkopo unategemea nini shame up on the JK Govt. Mnachagua wa kuwapa
 
Chuo Kikuu cha Dodoma ambacho kilianzishwa rasmi mwezi machi mwaka 2007 kimejipatia sifa kemkem za kitaaluma licha ya ukweli kwamba bado ni kigeni machoni pa wengi.

Hapo kwenye RED:​ Young Master, you have got it all wrong!! Hakuna elimu UDOM, kama ilivyo kwenye shule za kata!
 
Back
Top Bottom