Kashfa ya Kontena la Vitunguu Saumu kutoka China: Badala ya kuchomwa vinarudishwa upya!

By PIUS RUGONZIBWA, 8th November 2011 Daily News
THE Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) has seized and ordered for immediate deportation of 29 tonnes of garlic imported from China feared to be unfit for human consumption.

TFDA Public Relations Officer, Mrs Gaudensia Simwanza, told reporters in Dar es Salaam on Tuesday that the consignment, property of city-based Bravo Electric and Trading Company, arrived at the Dar es Salaam Port in September this year, before the Authority's inspectors suspected it.

The consignment, estimated at the value of about 2000 US Dollars (about 4.5m/-), had no required labels indicating validity and expiry dates as well as packaging agent who processed it, according to international procedures.
"We discovered, upon inspection of the consignment, that necessary information that must accompany it were not provided as per legal requirements governing labelling of products as released in 2006," she said.

Due to the shortcomings, she said TDFA immediately contacted the consignee who admitted and promised to return the products to China at his own expense.
Samples of the boxes packed with hundreds of garlic pieces could be seen labelled 'Fresh garlic' on one side and 'Normal white garlic' and 'Best produce of China' on the other side of the boxes.

Speaking at the Dar es Salaam Port on Tuesday, the agent who cleared the consignment representing his firm, Ms Platnum Trading Co., said, on condition of anonymity, that it was the first time for Bravo Electric and Trading Company to import the garlic which, according to research, sells like hot cakes in the local market.
Imported garlic, according to him, is now sold at 7,000/- per kilogram which is equivalent to 7m/- per tonne.
TFDA officials and Tanzania Revenue Authority were also seen busy at the Dar es Salaam Port yesterday making physical verifications of the container ready for the deportation exercise.

According to Mrs Simwanza, of late there have emerged some Tanzanian traders who arrange business trips to China and other Asian countries and import food products without complying with import regulations as required by the law of the land.
"We urge food importers to comply with import regulations and TFDA procedures, failure of which we will seize their imports and destroy or deport them to their countries of origin," she insisted.

Kwa sasa jamaa anasabahi mgonjwa ambaye nimuajiriwa wa serikali kupitia Orijino Komedi(Vengu)

vengu.jpg
 
Mimi bado napata shida kuamini kwamba nchi yetu pamoja na kuwa kilimo ndiyo main acativity bado eti tunaagiza vitunguu, kuku , maziwa, juices you name it!!!!!!! Where the hell is kilimo kwanza???? Besides ina maana hapa Africa kutuzunguka hakuna kabisa hivyo vitunguu saumu? Kuna sigara mpaka zinatoka China na kuletwa Tanzania.....Hii yote ni kwa sababu ya kutaka urahisi rahisi na tamaa ya wanaoitwa wafanyabiashara.
 
THE Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) has seized and ordered for immediate deportation of 29 tonnes of garlic imported from China feared to be unfit for human consumption.

The consignment, estimated at the value of about 2000 US Dollars (about 4.5m/-)

Imported garlic, according to him, is now sold at 7,000/- per kilogram which is equivalent to 7m/- per tonne.


Halafu na hawa Daily news vipi? Wanasema 1kg = Tshs 7000/=, Contena lillokamatwa lina 29Tons = 29,000Kgs, gharama halisi kwa mchakato huo ni Tshs 203,000,000. (Milioni mia mbili na tatu) sasa hii hesabu wanaitoa wapi? "The consignment, estimated at the value of about 2000 US Dollars (about 4.5m/-)"
 
Yaelekea Membe anawanyima usingizi kupita kiasi maana kila kitu Membe Membe.....br careful here,, unaweza ukanuwia kumfedhehesha mtu,lakini ikawa kinyume chake.....unamjengea heshima. Ni mtazamo tu
Membe ameingiaje katika hii habari ya vitunguu saumu? Ndiye importer? Kuwa muwazi.
 
Halafu na hawa Daily news vipi? Wanasema 1kg = Tshs 7000/=, Contena lillokamatwa lina 29Tons = 29,000Kgs, gharama halisi kwa mchakato huo ni Tshs 203,000,000. (Milioni mia mbili na tatu) sasa hii hesabu wanaitoa wapi? "The consignment, estimated at the value of about 2000 US Dollars (about 4.5m/-)"

Watajitetea mwandishi wa habari hajui hesabu vizuri
 
nna uhakika hujawahi kufanya biashara wala huielewi biashara, kuagiza biashara za nje hakuuwi biashara ya ndani bali kunasaidia kuikuza. Amma kwa kuweza kuonesha ubora wa bidhaa zetu amma udhaifu wa bidhaa zetu na kuchukua njia mbadala wa amma kuboresha bidhaa zetu amma kuziuza kwa ubora wake unaostahiki, mashindano ya kibiashara ndio njia pekee ya kukuza biashara, uelewa, elimu, viwango na hata "presentation" ya bidhaa. Na ikiwa tutaendelea kuogopa kuleta bidhaa za nje basi tukubali na matokeo ya kuzifunga fikra zetu na ziendelee kuwa pevu kama tunavyofikiri. Au tukubali kuwa na fikra changa zenye uwezo wa kufikiri mapya kwa kujifunza mapya mengi kutoka kwa wenzetu waliokubali kuwa hakuna fikra pevu utakayoifundisha ikaelewa (try to teach an old dog new tricks). Kuwa na fikra pevu ni ufinyu wa kufikiri.

Leo kweli mtu haswa mwenye fikra za kimaendeleo anakwambia usiagize bidhaa za nje kwani zinauwa biashara yetu ya ndani? Inashangaza sana.

Halafu uhusishe mambo kibao na uagizaji wa vitunguu?

Hivi huwa unatafuta njia za kupakaza kila unapoweza au ndio upevu wa fikra zako umefikia ukomo wa kufikiri?
upo sahihi lakini tuangalie na bidhaa tunazoagiza, kwa upo wa kawaida tuu hili ni tatizo
 
Back
Top Bottom