Kashfa ya Kontena la Vitunguu Saumu kutoka China: Badala ya kuchomwa vinarudishwa upya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kashfa ya Kontena la Vitunguu Saumu kutoka China: Badala ya kuchomwa vinarudishwa upya!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mzee Mwanakijiji, Sep 30, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kuna habari za kuaminika sana kuwa kuna kontena la futi 40 (karibu tani 30) na limeingie nchini kwa karibu wiki mbili sasa ambalo limejaa vitunguu saumu ambalo linajaribiwa kuingizwa nchini na kundi la Wachina. Sasa wakaguzi wa pale bandari wakagundua kuwa vitunguu vinaoneshwa (kwenye mifuko yake) kuwa vimeexpire tangu 2009. Sasa jana Wachina wetu walienda TFDA ili kupata kibali cha kuingiza vitunguu hivyo nchini. Lakini ilikuwa vikitoka hapo viende kutiwa moto - chanzo toka bandarini - kinadokeza kuwa hivyo vitunguu vimekomaa kiasi kwamba ukivipasua "unaweza kupata kizunguzungu au kupaliwa".

  Sasa Wachina hawako tayari kuingia hasara. Nasikia wametembeza mlungula wa kitu kidogo kuanzia TFDA, Kilimo, TRA na kwa vile sijafuatilia leo tangu hili sakata lianze jana walikuwa waende na TBS. Sasa uwezekano wa vitunguu hivyo kuingizwa sokoni ni mkubwa hasa kama haitawezekana kuvirudisha China. Sasa hivi vimehifadhiwa katika mafriji ya bandari pale na jamaa hawataki ifanyike "manual" inspection wanataka "scanning". Jamaa wametembeza karibu dola 5000 ili kurahisisha utoaji wa vitunguu hivyo; kuanzia TFDA kwenyewe kilimo na TRA.

  Sijui ni mazao gani yanalimwa huko Igunga (najaribu kukumbuka kama kuna maeneo ya Tabora wanalima Vitunguu saumu) lakini vyovyote vile ilivyo taifa lnapofikia kuagiza hata vigunguu saumu basi tuna hali mbaya sana. Ndio nimebakia kusema kuwa kuna kashfa nyingine ni za kijinga.
   
 2. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ukistaajabu ya musa, utaona ya firauni.. Kweli tumekwisha kabisa kama hata vitunguu swaumu twaagiza kutoka china...aliyeilaani tz sidhani kama yuko hai jamani!
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nimebaki pointless
   
 4. T

  Topical JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nafikiri amekufa...wanasema ni Nyerere
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  Umekuja na habari nzuri sana para ya kwanza, kama ni ya kweli, halafu para ya mwisho ukamwaga pumba kama kawaida yako. Unanshangaza kwa kuiharibu habari kwa maswali yasiyo na msingi.
   
 6. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  faixafoxy, ninachoweza kukwambia ni kwamba ubongo wako umeshakufa umebaki kiwiliwili tu ndicho ktembeacho, ninachoweza kuseama "ULALE PEMA PEPONI" usinichukulie vbaya..
   
 7. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Dada yangu habari za Jioni? bado upo kwenye kile Kitengo cha propaganda cha CCM (Bakwata)
   
 8. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
   
 9. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Umeanza vizuri lakini mwishoni umeingiza upupu. Inaelekea hata habari yenyewe ni ya kutunga tu.
   
 10. L

  Laptani Member

  #10
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Tumekwisha!!!!!!!!!!!
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mwita 25 mambo vp wangu?
   
 12. magnificent

  magnificent Senior Member

  #12
  Sep 30, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! kumbe
   
 13. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  Mie nadhani wako ndio uliolala, Igunga kuna limwa nini inahusiana nini na vitunguu vya bandarini? halafu kuna kosa lipi kuagiza vitunguu saumu kutoka nje? mradi vitengo vya afya viruhusu, sioni uhusiano wa biashara na Igunga na Bandarini. Nadhani mpaka sasa utajuwa ni ubongo wa nani uliokufa. Nakupa pole sana.
   
 14. Tony Almeda

  Tony Almeda JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watu wengine bwana hivi ID yako ya mwita25 kuigeuza atiwm52 unaona umewachenga watu au?? mmh tumekustukia.
   
 15. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Pumzika we kikongwe usiyechoka kulumbana, umri ulionao ukiendelea kubishana na vijana wa jf utajifia siku sio zako, huku hakuna wazee wenzio! Khaa Nape kweli hana hata huruma, anawapa kazi mpaka wabibi kama wewe?.. Ungeutumia ujana wako vizuri sahizi ungekuwa umejipumzikia zako unajilia mafao taratiibu...ona sasa unavyohangaika kisa ujira wa sh elfu mbili kwa siku... Kalee wajukuu zako bana!
   
 16. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  kwenu upareni na lushoto wanalima vitunguu saumu,kwani umeambiwa kuna upungufu wa viungo hivyo hapa nchini?mkulima mtanzania anaonewa kwa kuletewa nyanya,vitunguu,kuku,nyama ng'ombe toka South africa na china bila kibali ila wenye viwanda wahindi,makaburu wanazuia bidhaa shindani toka nje na wizara kusema eti marufuku kuingiza sukari,nondo,bati mpaka kibali maalum jee hapo kuna usawa?tumia ubongo usiwe bongo lala
   
 17. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  <br>
  <br>
  Msukule upo kazini!
   
 18. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu unadhani FF haelewi kinachozungumzwa na mwanakijiji?? ila wapo hapa kwa kazi moja tu....kuwachanganya baadhi ya wasomaji wa JF wasielewe ukweli kuhusu wapi nchi yetu ilianzia, wapi tulipo na wapi tunaelekea. Hawa utawaona au kuwajua kutokana na maandiko yao, maneno kutoka midomoni mwao au kushuhudia matendo yao. Ilhali mioyoni mwao wanajua ya kwamba nchi hii inaendeshwa na madereva wanaokwenda kusababisha ajali mbele ya safari ( Nimetumia lugha ya picha kufananisha uongozi mbovu na madereva fake).
   
 19. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  wanaudhi sana mtu mzima kuwa kibaraka mpaka lini?kisa una kamrija kako ka ufisadi badala ya kuangalia manufaa ya wananchi wote kwa jumla!tungeletewa mbegu ya vitunguu saumu vyeupe vikubwa ili wakulima wapande wapate mazao hayo zaidi hapo ningeelewa
   
 20. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mama tulia tu nyumbani ucheze na wajukuu...............ushachakaaaa
   
Loading...