sasa wewe unafikiri bila hao wabunge wa CCM hiyo bajet si ingepitishwa? Sasa upinzani kutoa hoja ina faida gani wakati kwenye kupiga kura wanapigwa bao?Huyu Nape anatoa maoni yake kusifia Magamba tuuuuu against opposition as if upinzani hawakutoa hoja za maana Bungeni! Na huko anakodai "CCM imejivua gamba," je, watuhumiwa wa Meremeta, Deep Green Finance, Tan Gold, Mwananchi Gold, Rada, Kagoda, nk wamefikishwa Mahakamani na mali walizoiba zimesharudishwa Serikalini? Kusema kweli nachukia baadhi ya kauli za Nape anapoeneza propaganda za ajabu kwa mwavuli wa "kujivua gamba!"