Kashfa ya fumanizi Igunga magazeti yaliyo ripoti, yote yanunuliwa CCM

Hizo ni laana kwa chama,hakuna kiongozi msafi ndani ya magamba.

Tambwe Hiza ni victim wa such coincidence, ila in all two episodes that engulfed him. Ya kwanza ilikuwa ni wahuni wenzie waliompeleka sehemu alikokuwa anamegwa mkewe (alipewa 'spoke' achungulie akakuta anapakuliwa! Dirisha liliondoka), ya pili mke mwingine alimzalia mdosi!
I think this experience contributes Tambwe's mind instability. Fumanizi la Igunga sijui impact yake itakuwaje.

Hiyo ndo kazi yao lakini wana I gunga wanaweza kutoa adhabu nzuri tu amabayo itawaadhibu magamba yote na mafirauni hawa.

CCM WATIA KOVU LA KIHISTORIA NGUZO KUU LA FAMILIA YA USTAADH RAAJAB IGUNGA: HAKUNA UTENGAMANO, UPENDO WALA KUAMINIANA TENA MLE!!!!!!!!

Ni lini kibaka Mkuu wa CCM kwenye kampeni za Igunga, Mwigullu Nchemba, atakaporudisha NGUO YA NDANI ya mke wa Mwana-Igunga Ustaadh Raajab??????????? Hili ni janga kubwa kwa wana-Igunga kubakiwa mkeo wao na bado kutarajiwa kukipigia kura kundi hilo hilo la vibaka kwenye huu uchaguzi mdogo wiki chache zijazo.

Endapo huyu kijana aliyetenda lisilokubalika (1) kisheria, (2) kitamaduni na kubwa zaidi (3) KIDINI hatokamatwa na kutiwa ndani na serikali ya CCM basi hesabu hizo zitachukuliwa kuwa sawa na CCM kufunguliwa UKIMWI kusambaa kote nchini kupitia maafisa wake kila kampeni zinapoibuka.

Enyi taasisi za kidini nchini (Wakristo, Waislamu kwa Dini nyinginezo), taasisi za msaada wa kisheria na wanaharakati wenye kujali;

Guys lets get serious .Naomba kujua ni magazeti gani yana habari hii maana hata kwenye mtandao nimesoma sijaona habari hii .Je ni kweli au tunazushana kuharibu forum hii ? Naomba kujua magazeti yaliyo andika na kama kuna uwezekano wekeni copy hapa .Scan and post please

wapenda ngono tu hao wanawaza chini tu watawezaje kujua matatizo ya nchi na kuyashughulikia?

TAASISI ZETU ZA KI-DINI NA WAANAHARAKATI KUNYAMAZIA MPAKA LINI SAKATA LA CCM KUVURUGA NDOA ZA WATU KIASI HIKI IGUNGA????????

Kama kweli Tanzania hii watu htuna tena heshima ya ndoa kiasi hiki mpaka na chama tawala kufikia mahala kubariki hali ya aina hii na kugeuza sheria za nchi hii kuwa ni minyiroro tu kwa AKINA WALE wakiwemo CHADEMA na wala si kwa FISADI MWIGULLU NCHEMA aliyetimua mbio kwenye Gesti Hausi na chupi cha mke wa Wana-Igunga mkononi nakubaki nje bila kuguswa na sheria zetu hadi dakika hii!!!!!!!!!!!!!!!

Selective Administration of Justice haikubaliki kamwe, CCM yafaa mjue hilo kabla hakujachelewa. Vijana huenda wakaamua KUSAWAZISHA mabonde yote na miinuko kaatika ulimwengu wetu wa sheria zetu na jinsi tunavyozitumia kwa wananchi wetu. HAKI inpokosekana kama hivi sasa kitakachofuatia wala kisije kusingiziwa kuwa ni ajali wala shetani vile.

Hebu jiweke kwenye viatu vyake huyu kijana mwenzetu Ustaadh Raajab kujitolea kwa hali na mali kwa chama akipendacho (demokrasia yake) na kuishia kumegewa mke na pengine na UKIMWI juu hata kabla ya kura kupigwa, je mara baada y kura kumalizika Wana-Igunga sasa wategemee kuzulumiwa nini kama hata mke wa ndoa si swala zito kwa CCM??????????

Kitendo cha taasisi zetu za ki-dini nchini kukalia kimya sakata hili linalogusia UHAI WA NDOA NA NGUZO ZIMA WA USTAWI WA FAMILIA kwa huyu kijana mwenzetu ni unafiki usiokubalika hata chembe!!!!!!!!!!!!!

Tambwe Hiza ni victim wa such coincidence, ila in all two episodes that engulfed him.

Ya kwanza ilikuwa ni wahuni wenzie waliompeleka sehemu alikokuwa anamegwa mkewe (alipewa 'spoke' achungulie akakuta anapakuliwa! Dirisha liliondoka), ya pili mke mwingine alimzalia mdosi!

I think this experience contributes Tambwe's mind instability. Fumanizi la Igunga sijui impact yake itakuwaje.

Mwigulu anaanza kukomaa kwa kufuata nyayo za Dkt Slaa.Weraa! Mwigulu fuata nyayo za babu ule asali.

Guys lets get serious .Naomba kujua ni magazeti gani yana habari hii maana hata kwenye mtandao nimesoma sijaona habari hii .Je ni kweli au tunazushana kuharibu forum hii ? Naomba kujua magazeti yaliyo andika na kama kuna uwezekano wekeni copy hapa .Scan and post please

ndugu hata magazet ununui then unataka wanao nunua wakuscanie wakuwekee...

Mwenye mke ningemshauri atangaze yaliyojilia hadharani na kutangaza kuihama CCM kwa sababu ya kudhalilishwa yeye, familia yake na Wanaigunga.

Mwenye mke ningemshauri atangaze yaliyojilia hadharani na kutangaza kuihama CCM kwa sababu ya kudhalilishwa yeye, familia yake na Wanaigunga.

kama wameweza kununua magazeti yote yenye hiyo stori na mfukoni wana 400m watshindwa nini kummegea fungu ustaadh Rajab ili awafichie siri?

Laki kwa kuwa tukio limetokea igunga na likashuhudiwa, wana igunga hawahitaji kusoma magazeti, wansimuliana tu kwakuwa waliona live jamaa akikimbia na kusahau kufuli yake guest house.

Duh kumbe huyo jamaa ni noma sana ingekuwa kule Afganistan angenyongwa tu, sasa hapa kama kawaida yao ccm wanaficha kama vile wamesahau ule usemi wa wahenga "mficha uchi hazai"

huyu jamaa kumbe ni mfanyakazi pia benk kuu ndo maana hatupati kazi wanapata wao tu

Mwigullu Nchemba ambaye ni kiongozi wa uchaguzi wa CCM Igunga mbona hilo liko wazi na nguo yake ya ndani nasikia alisahau guest?
yaani mwigulu nchemba naye ni mb@l@ mkononi? ukiwa kada wa CCM halafu ukaona unapewa cheo kiulaini ujue your wife anatafunwa na wazee wa chama! CCM ... chama cha maguberi!

Kama Mwenyekiti wangu Rage kafikia uko daaa anaweza naye ata kuchukua wake wa Wachezaji wake wa Simba mmmmm SSC Kaeni makini

Back
Top Bottom