KASHFA: Polisi wa Buguruni Dar, wadaiwa kudhulumu kilo 800 za nyama na kugawana

Lile sakata la wafanya biashara wa nyama kuporwa nyama zao kihuni kule buguruni!

Polisi litawapeleka pabaya!

Magufuli akisikia atasafisha kituo kizima warudi mtaani kuchoma mishikaki!

Ukiachana na kesi ya nyama yenyewe, kitendo cha polisi kutuhumiwa kuiba na kugawana nyama hilo peke yake linawaondolea sifa ya kuwa watumishi wa uma wenye mamlaka ya kusimamia usalama wa raia na Mali zao!

Kama halijafika kwa magufuli, Polisi makao makuu fukuzeni hao vijana walioshiriki kufanya uhuni huo kinyume na P.G.O inavyoelekeza!

Uzuri wa magufuli hapendi kulemba mambo meupe kama haya!
 
sawa, endelea kwwenda polepole peke yako , si na mimi. maana eleimu yako ndogo tu ya Tengeru tayari ushajua wakurugenzi wote na nmna makaimu wanavyoteuliwa kwa kubebwa. Endelea na mwendo wako
Nagutombele nokho nashik'aha?
 
Huyo msajili wa bodi ya nyama anaitwa Imani Sichalwe, namfahamu vizuri sana alikuwa mwalimu wangu chuo cha mifugo Tengeru, kwa kweli alikuwa katili tangu akiwa chuoni hapo, uliza mwananchi yeyote aliyepitia pale LITI TENGERU miaka ya 2000 na kadhaa atakupa habari! Ajirekebishe bwana gentleman kabisa unakuwa mpuuzi namna hiyo? Ni mtu anayeamini katika mabavu! Nafasi yenyewe kwanza kaipata kwa kubebwa, dadake alikuwa mkurugenzi hapo wizara ya mifugo ndiye aliyemmegea pande hilo!
Kwani anaishi angani? tafuteni kwake kisha mmwagieni kinyesi cha binadamu tena uharo. atajirekebisha tu
 
Mkuu wa Idara ya Mifugo na Uvuvi Mkoa wa Dar es Salaam, Adrew Majaliwa amezuia operesheni zote zinazofanywa na Bodi ya Nyama Tanzania kwa wafanyabiashara wa machinjio ya Vingunguti wanaouza nje ya machinjio pamoja na wasiokuwa na vifungashio maalumu vya kubebea...
Ni upuuzi kusubiri kuitwa shujaa kwa kuzima moto ulio uwasha mwenyewe
 
Huyo msajili wa bodi ya nyama anaitwa Imani Sichalwe, namfahamu vizuri sana alikuwa mwalimu wangu chuo cha mifugo Tengeru, kwa kweli alikuwa katili tangu akiwa chuoni hapo, uliza mwananchi yeyote aliyepitia pale LITI TENGERU miaka ya 2000 na kadhaa atakupa habari! Ajirekebishe bwana gentleman kabisa unakuwa mpuuzi namna hiyo? Ni mtu anayeamini katika mabavu! Nafasi yenyewe kwanza kaipata kwa kubebwa, dadake alikuwa mkurugenzi hapo wizara ya mifugo ndiye aliyemmegea pande hilo!
Safi sana lete story mkuu
 
Nimesikitishwa na taarifa ya kitendo cha uporaji wa nyama kule vingnguti.Ila nikaanza kujiuliza majukumu ya board ya nyama yanatofautiana vipi na majukumu ya afisa afya wa halmashauri.kwanini issue kama ya ubora wa nyama yasishughulikiwe na mamraka ya chakula na dawa au TBS kupia ofisi ya afya za Halmashauri.Najiuliza tuu kule lukuledi hawa board ya nyama wanafikaje kucheki ubora wa nyama...
Kuna bodi ya maziwa pia, nchi hii ni tatizo, bodi kila kona hatuoni wanachokifanya zaidi ya hizi comedy, na serikali haiwezi kuziendesha sababu ya ufinyu wa rasilimali fedha basi wanataka kujiendesha kwa gharama zao kutupiwa mfanyabiashara.
 
Kwani anaishi angani? tafuteni kwake kisha mmwagieni kinyesi cha binadamu tena uharo. atajirekebisha tu
Huyo jamaa inaonyesha anaroho mbaya sana hata hicho Kinyesi kinaweza kukataa kukataa kumwagikia kwa hofu ya kupanda najisi
 
Mijaaa mijizi kishenzi apo nyama tu inayooza mnaiba kweli?IGP simamisha kazi wote hao na hamishia nanjilinji wote hao wakale nyama za fisi huko!
 
Back
Top Bottom