Kashfa nzito ya vigogo ATCL

OkSIR

Senior Member
Jun 3, 2009
108
1
Ailing ATCL in posh car scam

Air Tanzania Company Limited (ATCL), surviving on government subsidy, is under probe for alleged purchase of more than 15 luxury vehicles, for its top bosses for which it also sought tax exemption.

Reliable information from ATCL alleged that the money to buy the vehicles for the company’s top bosses was part of the rescue package from the government and that apparently the decision was made by the management in collaboration with the Board.

The actual value of the luxury, four-wheel drive vehicles, locally referred to as ‘Mashangingi’, is yet to be established, but experts say it is likely to be over 2billion/-, at the current price of 120million/- for a Landcruiser model imported from Japan.

Infrastructure Development ministry Permanent secretary Engineer Omar Chambo, confirmed the purchase of 15 to 20 Landcruisers from Japan, saying the ministry was investigating the matter.

He also confirmed the allegations that the vehicles were for the use of the company’s top bosses.

He said he had ordered the relevant documents from ATCL and that the ministry’s auditors were working on them to establish the source of the funds to buy the vehicles and the people involved in the scam.

He termed the purchase as irresponsible in light of the state of the airline company, which has been surviving on government subsidy since its establishment. “We will take action against the people involved in the purchase. We are not ready to entertain this behaviour, ” he said.

Chambo said everyone was aware of the state of ATCL and the measures being taken to rescue it.

Chambo%282%29.jpg


Infrastructure Development ministry Permanent secretary Engineer Omar Chambo.

Tanzania Revenue Authority officials who asked for anonymity, confirmed to The Guardian that the posh vehicles were lying at the port, saying they were now lined up for auction after efforts by officials from the airline’s management and board to secure tax exemption failed.

When asked whether he was aware that the vehicles were lined up for auctioning by TRA, Chambo said he did not know of any such move, but promised to follow up the matter.

Sources at the Treasury told this paper that ATCL continued to be a taxpayer’s burden, as it continued to operate at a loss, relying on government subsidy. The source expressed serious concern at the possible misuse of the subsidy the company was drawing from the Treasury, calling for urgent investigation of the use of the funds.

The source however declined to say how much the government has so far spent on ATCL.

Commenting on the status of the company, Chambo said negotiations between the government and the Chinese firm which has shown interest to invest in ATCL are still on and going well.

He explained that the government was being careful in the negotiations to avoid a repeat of the mistakes made in the pact with the South African Airways.

The TRA Director of Taxpayers Education, Evod Mmanda told this paper that he was not aware of any ATCL vehicles lined up for auctioning, adding that when it came to auctioning, it was not their concern who the vehicle belonged to.

“We normally focus on getting the due revenue. We don’t care who the vehicle belongs to. We run auctions regularly, so it is hard to establish which auction involves whose cars” , he said.

A spot check by The Guardian at the Dar es Salaam port established that the vehicles were still lying there. No official was however ready to show this reporter where they were being kept, but one of the port workers hinted: “We know where they are, but we can’t show you. One or two of them has been cleared” he alleged.
 
Hili swala la ununuzi wa 'mashangingi' PM na JK wamelipigia kelele kwa muda sasa, kama article ya leo Daily News inavyosema.

Hata hivyo wito wa PM kupunguza manunuzi ya mashangingi yaelekea hayafuatwi, kama ni amri ya serikali basi haina nguvu kwani hazitekelezwi na maofisa wa serikali. Hii yaweza kuwa dalili kwamba serikali haina nia ya kweli kuhusu hili, kwani imeshindwa kusimamia manunuzi ya haya magari.

Sheria za manunuzi zinaeleweka, wahusika waliofanya maamuzi ya kununua haya magari wakati ndege za shirika haziruki wanajulikana. Hili la kufanya uchunguzi ni kupoteza muda tuu, maofisa wa ATCL waliohusika na manunuzi hayo wawajibishwe bila kupoteza muda. Mie moja kwa moja ningeanza na DG wa ATCL

Pinda pours scorn on lust for big cars


DAILY NEWS Reporter, 28th September 2009

THE Prime Minister, Mr Mizengo Pinda, has deplored what he termed as increasing tendency by some government officials, to compete in purchasing the most expensive luxurious vehicles, instead of using state resources to fight poverty in the country.

Mr Pinda observed in Dodoma yesterday that for Tanzania to make positive strides in fighting poverty in the country, government officials must cut back on buying expensive cars and instead focus state’s money on alleviating poverty in rural areas.

“I was in India recently and I was surprised that ministers are using very ordinary vehicles. Here it is different, although we are very poor, we are competing in buying the most expensive vehicles. Ministers, Members of Parliament, Permanent Secretaries, regional commissioners, municipal directors, and administrative officers are driving luxurious vehicles,” Premier Pinda lamented during his meeting with livestock stakeholders in Dodoma.

Mr Pinda said vehicles driven by the government officials fall in the range of 100m/- to 230m/-, the money that could have been used to make tremendous strides in fighting poverty in the country.

He directed that purchasing of vehicles for government officials should be revisited, calling for ministers to drive Toyota Hardtop which are less expensive than ‘Mashangingi’ and conducive to the country’s terrain.

“If we decide to implement this move, we can save money that will go into other areas in dire need of financial assistance like the livestock sector,” he said.

Explaining how livestock industries can be turned around to be productive, Premier Pinda stressed the importance of investing the little resource available to livestock, agriculture and fishery industries.

“Without changing the current system that is not productive, we will not be able to help farmers or livestock keepers to be productive in what they do,” said Mr Pinda, adding that livestock experts available should also be utilised to bring reforms in the sector.

He directed a fresh look into the livestock programme, with the purpose of overhauling it and making it more result oriented. He directed for a meeting between government and researchers in the country before the end of the year.

Among issues the government wants to find out from the researchers, are challenges that they face in their field of work. The three-day meeting was attended by livestock stakeholders from Dodoma, Singida, Arusha, Shinyanga, Manyara, Mara, Mwanza, Tabora, Mbeya, Kagera, Morogoro, Coast and Lindi regions.
 
Mbona hii story si mpya?
Kwa jinsi ijnavyoonekana ni kitu kipya na hayahusiani na yale ya wali, maana inaonyesha kuwa haya yaliagizwa baada ya kupata ile bail out package ya serikal juzi juzi hapa
 
huyu muhuni katibu wa wizara ya miundo mbinu ndie alieendekeza upuuzi wote huu...anajifanya hajui wakati inajulikana watu walimpelekea hadi na risit za TRA akaishia kuwasema kwa viongozi wa ATCL mwisho ikawa mshikemshike wakatimuliwa watu nasikia kama chura...leo hii anakuwa mnafiki anachunguza huu upumbavu serikalini sijui utakwisha lini........kama mlisoma ni huyu bwana mpenda pesa na samahani kwa kama nakosea mnisamehe huyu ni mzinzi wa pesa....kama mnakumbuka ana liskendo likubwa pale tanroads kapewa cheki ya million kumi ati kwa kumpongeza kuwaongezea wafanyakazi mshahara
jamani kila mtu angekuwa akipongezwa sasa kungekuwa na mshahara wa nini??Hii serikali imejaa wahuni watupu pale juu ...hasa hii wizara kuanzia waziri wake hadi messenga

Kama mnakumbuka hii kampuni wakti ikiwa njiani kufilia mbali waziri husika bwa kawambwa akajifanya anaunda tume mpaka leo hii hii tume aijafanya chochote....na zaidi ya kumshauri RAIS Kumtoa mattaka na kumpeeleka NIC huku uikiwaacha wala nyama wakiendelea kuitafuna hiyo kampuni....inasikitisha sana na wish ningekuwepo kama enzi za ole kambaine...hawa viongozi wa sasa wote wamejaa njaa na kuchuma mapema hawana jipya.................

Nafikiri serikali imefika wakati wa kuwaachia wananchi waamue nini wanachotaka...tukiangalia hii wiizara jamani TRL bomu.ATCL BOMU...SASA MATOKEO YAKE WANALISHWA TEN PERCENT WANAKAA KIMYA...HI STORY SI MPYA NAKUMBUKA NI YA SIKU NYINGI NILIISOMA HAPA NAHISI KUNA MOTO UMEWAKA HUKO NDIO MAANA WAMEAMUA KUWASHIWA MOTO
MWENYE MORE INFO UKO TANZANIA TUDONDOSHEENI ULAJI WA ATCL NA TRL
 
Haya yanayoongelewa leo hii si yale yalioingizwa 26 ambayo yalitoka 7 20yaliyobaki yako kwenye bond ya ndugu yake bw mattaka bw mashaka ambae kama nilisoma vibaya analipwa usd doller 4500 kwa mwezi na ina miaka 2 sasa
haya walikuwa wanayaagiza baada ya kupewa hiyo exempt...kazi kweli kweli nahisi kuna viongozi ambao wanaitajika kufungwa iwe kama fundisho kwa wale wanaokabidhiwa dhamana ya mali za nchi hii..ili mtu akikabishiwa shirika /kampuni ajue si ya familia bali ni ya wananchi....huu uhuni wa bw chambo kuanza ku investigate ameanza toka mwaka juzi ajamalza ataweza leo hii kuanza upya

shame chambo shame kawambwa
 
Huu sasa ni uhuni. Screw em! Wapeni tu hayo magari kwanza hayakununuliwa na rescue money. Na yale ambayo tayari yanatumika ndio itakuwaje? Kilichoenda kwa mganga?
 
Kama nakuona mwanakijito unavyotoa chafya kama mafua ya ndege na hizi story chafu
 
Hizi kesi za "PANYA" KUPELEKEWA PAKA" SIDHANI KAMA ZITA FUNCTION
 
JAMANI NASIKIA KUNA RIRIDANDASI HUKO ATCL ANY NEWS...MAANA KUNA WATU WALITAJWA HAPA WANA MIKATABA YAO KAMA SIKOSEI INAMALIZIKA MWAKA HUU
KASI KWELI KWELI....I LIKE TANZANIA WACHA TUENDEELEE KUBEBA MA BOX YETU

Jamani hayo magari kwa nini ni sh ngapi?? kwa nini wasiwape kabsa wakawatimua nayo waje na ushahidi MAHAKAMA KUU............hao takukuru nasikia walienda kuichunguza hii kashfa mwaka juzi wakakatiwa fungu awakurudi tena....mpaka leo hii ngoja tumsikilize """PREDESHE CHAMBO"""NA ulaji wake wa TUME....hizi tum tume tume zitaisha lini na ipi italeta maendeleo ??????????
mmhh kwenu watanaznia mlioko uko tanzania mkiona vipi wafungulien mashtaka kuna kipengele kinaruhusu mwananchi yoyote ukionapesa za walipa kodi incliding wewe zinatumika vibaya una mamlaka ya kudai mahakamani kujua matumizi yake

holla
 
Nadhani hii ilikwua ni fursa ya serikali kuonyesdha ukali wake kwa viongozi wasiojali maslahi ya taifa... haiwezekani shirika linachungulia kaburi halafu viongozi wake wajali zaidi mashangingi kuliko uhai wa shirika
 
Nadhani hii ilikwua ni fursa ya serikali kuonyesdha ukali wake kwa viongozi wasiojali maslahi ya taifa... haiwezekani shirika linachungulia kaburi halafu viongozi wake wajali zaidi mashangingi kuliko uhai wa shirika
Mpita Njia,
Waende Ethiopia wajifunze jinsi ya kuendesha shirika la ndege kwa faida.
Ethiopia Airlines is 100% owned by the Ethiopia government but it is run like a business enterprise. Husikii maafisa wake wakijinunulia mashangingi. Wanapata bonasi when the enterprise make money.
 
Ukisikia watu waliojisahau ndio hawa,shirika linakufa na huduma zake mbovu wao wako busy kukatiana 10% na ununuzi wa magari ya kifahari,hivi ni nani anahusika kulinda mali za umma zisiliwe na hawa wahuni maana kila kitu ni tume tuu za mamilioni then kila kitu shelved,States uhuni kama huu wala husikii Obama akiongea...hapo ingekuwa full force state attorney general/dept of justice wanakupumulia mlangoni,lazima tuwe na idara ambazo ziko serious na prosecution za watu kama hawa bila kusubiri JK au mawaziri la sivyo tutaendelea kuliwa tuu
 
Nyie vipi..... Mnataka wakale POLISI? Kama mwataka basi si muwapeleke?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom