Kashfa nzito toka UK

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
Scandal of the Kilimanjaro sherpas

When porters die or their health is ruined, charity trekking becomes adventure imperialism

Wazee mtanisamehe kwa kuweka post nzima ...lakini once in a while siyo mbaya sanaa

Lazing around this Bank Holiday, we should raise a glass to Atta Sherpa, the Nepalese guide who has just broken all records and reached the summit of Everest for the 18th time.

For while we battle with bedding plants, Atta dallies in the death zone, hoisting a constant stream of fat, unfit, oxygen-starved Westerners into one of the most hostile environments on the planet. However reluctant the lobelia, they cannot really compete with that.

We may mourn the vulgar circus that Everest has become - with wealthy egotists queuing like ants to conquer it - but we should feel justifiably happy for 48-year-old Atta, who is fêted as a result of his exploits on the mountain.

Well fed and well clothed, he and his colleagues are now recognised and recompensed for the unique skills they offer the developed world at play.

But there is a darker, hidden story to be told about mountain guides; one born of this burgeoning age of adventure imperialism.

This one is a direct consequence of the extraordinary growth in charity trekking: the fashionable way for thousands of Europeans to raise money for good causes while having a jolly good time in an exotic place. The Andes? The Great Wall of China? Easy peasy to organise.

Everest is not yet on the mainstream charity challenge circuit - give it only time - but Kilimanjaro firmly is. The peak, the highest in Africa, and at 5,898m (19,340ft) the world's highest free-standing mountain, is not only iconic; it is the tallest that can be climbed without ropes or technical mountaineering skills. Purpose-built for the punters, in other words.

This year some 25,000 Westerners will beat the well-worn tourist path to its summit from the Tanzanian side - like Ben Nevis with bells on. I know of some who plan to go this summer: good people, keen on a low-risk adventure, with plenty of creature comforts on the way, and no desire to carry their own packs. But how many will notice their obliging Tanzanian escorts, Africa's forgotten sherpas, who, despite being ill-equipped, untrained and underpaid, will act as beasts of burden during their week-long trip?

The plight of the Kilimanjaro porters is one of those quiet scandals which no one likes talking about, least of all the companies which organise the lucrative trips. But by Western standards what is happening there represents the kind of exploitation stopped on Everest some years ago.

Up to 20 guides and porters die on Kilimanjaro every year. They will die from altitude sickness, hypothermia and pneumonia brought on by inadequate equipment and the relentless, competitive pressure to keep working.

That figure, shockingly, is more than double the number of tourists who die on the peak every year. Moreover, the guides are young men: by the time they reach their 30s they are finished; their bodies burnt out by the pounding they take. The oldest, currently, is 32.

For despite the advertising pitches, Kilimanjaro is no walk in the park. For anyone. Altitude sickness is an ever-present threat, and there is permanent snow on top, with frequent blizzards and temperatures well below freezing.

Every year eight to ten of the 25,000 who set out to climb it will die, usually as a result of altitude; and the failure rate for the climb is startling, with six out of every ten people unable to reach the summit.

On one British expedition last year, only nine out of 35 tourists summited, and 12 of the group had to be stretchered off the mountain. (The national park, although regulated, is too poor to have helicopter rescue or defibrillators stationed on the hillside.)

With a calculated lack of compassion, Western travel companies routinely employ doctors to care for their guests, but not the guides and porters.

Of the 150 guides registered with the Kilimanjaro National Park, most are self-employed. These young men exist in a ruthless free-market economy, vying with each other for the jobs, and risking their own health with enforced lay-offs and lack of proper re-acclimatisation. Their pay is correspondingly cut-throat. Porters (who carry 20k packs containing water, food, firewood and the tourists' possessions) earn $3 a day; guides up to $10.

Set against the £2,500 the individual tourist must raise in sponsorship, both to cover their jaunt and aid charity, these sums speak for themselves. They are, however, well above the average Tanzanian wage.

Allegedly some companies do not pay their staff any salaries at all, but let them rely on tips; and notably, I could find no companies which actually stated on the internet what rates they paid their native staff (though there was copious information about how little impact their long-haul flight would have on the environment).

Guides and porters also have to fund their own equipment. Meaning that trekkers are regularly escorted to the roof of Africa by shivering Tanzanians wearing wellies and flimsy anoraks - both bought secondhand, for up to $30 a throw - and lacking gloves, hats or sunglasses. One British doctor, who bluntly describes the situation as exploitation, had to treat his porters for snowblindness.

Through this GP, I met one of the guides, a slight, softly spoken African of 24 who came, like them all, from abject, mud-hut poverty. He spoke matter of factly about life on the mountain - of being forced to eat the tourists' leftover food, and sleep five in a bed, in shelters lacking any kind of insulation, while tourists enjoyed luxury A-frame huts. He worried not about his own health, but the responsibility he felt when tourists fell sick.

And, of course, Kilimanjaro raises the universal issues of tourism - casual labour, viable wages, exploitation. But it also demands urgent debate about how, in the playing of these supposedly philanthropic games in the developing world, we behave like the worst kind of colonials from a past era.

Let us not kid ourselves: there is nothing heroic left in any of this. Not in the checkout queue at thetop of Everest; neither, especially, on some naive sponsored walk in Africa.
http://www.timesonline.co.uk/tol/comment/columnists/melanie_reid/article4003956.ece
 
Hili linonekana ni swala la kutilia maanani. Sijawai kufika kwenye mlima kilimanjaro lakini kama huyu muandisha anachosema ni kweli, then tusubiri tuu kidogo kabla hawajanza campain ya kupinga swala la kwenda kupanda milima third world.

Kama tourism inaliletea taifa more than 10% ya total revenue, jee ni kwa nini hatuspend more kuwekeza kwenye swala zima la utalii. Kwa nini asipewe mtu tenda kuweka store itakayo uza brand new equipments za kupandia mlima? Kwa nini hao wanakweza watu milima hawapei brash mara kwa mara katika swala hili.

Watu weupe ni maharufu kwa kusimamia assumptions zao zikubalike kwenye jamii. Sasa huyu muandishi anaweza kuliubiri ili swala over and over likapata attention kwenye media zao, then ili revenue yetu tuyaipata kupitia utalii ikawa adithi ya kalle.
 
Kuna wakati nilikwenda na familia yangu kujarbu kupanda huo mlima. Kwa vile watoto hawakuwa na umri unaoruhusu, tuliruhusiwa kupanda hadi Mandera Hut pekee.

Tuliambiwa kiasi cha kumlipa guide na tukakilipa. Sasa kuna ukweli kwamba kuna waongozaji ambao hawalipwi?

Augustine Moshi
 
Game Theory,

Excellent reportage! Have you thought of submitting your article to any of the Tanzanian English-language newspapers? Start a bushfire, it becomes a wildfire. Never under-estimate the power of the media.

./Mwana wa Haki
 
kama taifa linataka kukuza utalii, nashindwa kuelewa kwanini hadi sasa hakuna hata relikopta moja kwenye kilimanjaro. ,......safety ya watalii inatakiwa kuwa sawa na safety ya mtanzaia guide wa mlima.
hata kama guide anapipwa mshahara wa kumpeka mgeni mpaka juu, mshahara ni mdogo wa kumuwezesha yeye kununua vifaa vya kumlinda na baridi ya mlimani.
guides kumi kufa kwa mwaka ni wengi mno, na serikali lazima ilitizame uzuri, na ibuni mbinu za kukomesha tatizo hilo
 
And whats your opinion/views on the subject? And you never quoted the message, what about copy right issues? Just asking..............
 
And whats your opinion/views on the subject? And you never quoted the message, what about copy right issues? Just asking..............

If you bothered to read the article you would understand i apologized for posting the whole article in my second sentence as its not a norm for me to do that.

I think its a disgrace and someone should look into this issue this is not a good publicity at all.
 
binafsi siatashangaa hali kama hiyo sababu kama tulivyosikia kuwa msichana wa shule ya msingi alivyolazimishwa kufanya mapenzi na mbwa na kupewa ujira wa shilingi elfu 1000tu. Kwa hiyo kula makombo au kutolipwa ni vitu vya kawaida ktk tourist industry. Wenyeji amabo watanzania wanapata penuts,matusi na kuzalilishwa. Serikali lazima iangalie heshima inayonyang`anywa na hawa ``wawekezaji`` wanaleta ``hela`` lakini wanatunyang`anya heshima
 
kama taifa linataka kukuza utalii, nashindwa kuelewa kwanini hadi sasa hakuna hata relikopta moja kwenye kilimanjaro. ,......safety ya watalii inatakiwa kuwa sawa na safety ya mtanzaia guide wa mlima.
hata kama guide anapipwa mshahara wa kumpeka mgeni mpaka juu, mshahara ni mdogo wa kumuwezesha yeye kununua vifaa vya kumlinda na baridi ya mlimani.
guides kumi kufa kwa mwaka ni wengi mno, na serikali lazima ilitizame uzuri, na ibuni mbinu za kukomesha tatizo hilo

gaijin;
Mgeni anayekuja kupanda mlima kilimanjaro na akahitaji huduma maalum anatakiwa kuwa na BIMA yake mwenyewe, ambapo mashirika kama AAR, Flying Doctor hualifiwa mara moja na hutuma ndege kuja kumchukua, lakini kwa wale wanaokuja kupanda na kutegemea rescue ya KINAPA wakipata matatizo hushushwa kwa machera ya kusukumwa toka pale alipopatia matatizo mpaka pale sehemu ambayo gari la wagonjwa hufika kumpokea na kumpeleka KCMC na hapo ndiyo mwisho wa huduma ya KINAPA (matibabu na mengineyo ni mambo yanayomhusu mgonjwa na wakala wake aliyekuwa amempandisha mlima)

UKizungumzia KINAPA kuwa na helkopta,siyo vibaya lakini kumbuka hapa mgeni mmoja analipa $20 tu kwa ajili ya rescue; je unafikiri hiyo pesa inatosha kutoa huduma kwa helkopta.
Ule ni mlima kupanda siyo taabu sana, tatizo liko kwenye kuteremka pia kwani wageni wengi hujifanya wanaumwa iliwasaidiwe

Kwa swala la vifaa vya kupandia mlima kwa Guide na Porters kwa kweli hili KINAPA wako macho kweli hakuna Guide ama Porter ambaye hurusiwa kupanda mlima bila kuwa na vifaa. Kwani kabla hawajaanza kupanda Mizigo yote inapimwa, porter anaonyesha vifaa vyake vya kujikinga na baridi, viatu mpaka soksi na kama itagundulika porter anaupungufu wa vifaa haruhusiwi kupanda mlima.

Idadi vifo vya Guides & Porters vinaweza sababishwa na mambo yafuatayo:-
1: Kazi hii mtu huinza bila ya kupima afya, kwa hiyo huwezi kujua ana matatizo sugu katika mwili wake yanamkabili lakini akisha jiona anaweza kutembea na kubeba mzigo kilo 20 basi yeye ni mzima.

2: Sehemu kubwa ya hawa Guides & Porters ni watumiaji wa pombe, hivyo wanapoteremka tu! pale getini kitu cha kwanza kusalimianacho ni pombe. Wakiamini mlima hauishi na ukiisha pakawa Crater watalii watakuja wengi zaidi ilikushangaa imekuwa vipi mlima umekuwa Crater? Kumbuka huu mwili umekuwa katika matumizi makubwa ya maji kwa muda wote wa siku 6 ama 7 alizokuwa mlimani tena anaufikishia kwenye pombe unafikiri hapo itakuwa vipi?

3: Swala jingine ni mashindano kwa porters wanapokuwa kazini. Unakuta mtu mvua inanyesha lakini yeye yuko kifua wazi na mzigo wake kwa vile anatembea damu inachemka anahisi joto, lakini ile baridi inamuingia mwilini pasipo yeye kujua, ambapo madhara yake hujitokeza baadaye.

4: Kama nilivyoeleza hapo awali, swala la kupima afya ni muhimu baadhi yao unakuta walisha athirika (HIV+) kwa sababu nao ni watu wakuzungushiana sasa akienda umbali wa mita 4000M,Asl lazima achemshe kwa sababu ya ile baridi, kama ni kipindi cha mvua mtu huyu lazima apoteze maisha.

Kwa swala la kipato, tatizo hapa ni kwamba kila kampuni inayopandisha watalii Kilimanjaro inalipa watu wake tofauti na kampuni nyingine (Soko huria). Makampuni yanayoongozwa na wawekezaji toka nchi za magharibi yamekuwa yanajitahidi kuwalipa angalau tuseme vizuri ukilinganisha na kampuni za kizalendo
kwani walikuwa wanamlipa guide $20-25 kwa siku, mpishi $ 15-20 kwa siku & Porters $7-9 kwa siku
wakati makampuni ya wazalendo yanalipa chini ya kiwango hicho.

Nadhani hili la malipo ya mishahara limekuwa na mvutano sasa kwa zaidi ya miaka 5 kati ya KINAPA na Mawakala. KINAPA wanasema tukiweka kiwango cha chini angalau kiwe kiasi fulani basi hata wale waliokuwa wanauwezo wakulipa zaidi watarudisha chini na kusema hicho ndicho kiwango cha KINAPA. Mawakala nao especially makampuni ya wazalendo wamekuwa wakilalamika wateja wao wanalipa kiwango kidogo kwa hiyo wanaweza kutoa mishahara kulingana na budget yao.

Labda kwa hili la malipo KINAPA inaweza ikaweka ikawapangia kiwango, yule asiyeweza kulipa kiwango hicho asipandishe mgeni Kilimanjaro, kwa sababu mbona malipo ya kwa porter wanaopanda mlima Meru imepangwa kwa hiyo kampuni zote zinawalipa porters hicho kiwango kilichowekwa.
 
If the gov. maintains the pace at which it responds to scandals and other burning issues currently grabbing headlines in the country such as one displayed here, surely we'll be on the right path and it is without doubt that this is an impressive positive step.

The following is the gov's response to the leading article on this thread posted here hardly 48hrs ago!!

Govt denies scandal of the Mt. Kilimanjaro porters

PENDO PAUL NDOVIE
Dar es Salaam

THE government has dismissed reports of mass deaths of local guides and porters on Mount Kilimanjaro due to exploitation by tourist companies.

''These reports are totally false. The government is not aware of any deaths or injuries of porters who help tourists to scale Mount Kilimanjaro,'' the Deputy Minister for Natural Resources and Tourism, Ezekiel Maige, told THISDAY in an interview.

He was responding to an article published yesterday by a well-known UK media outlet, The Times Online, suggesting that up to ''20 guides and porters die on Kilimanjaro every year.''

According to the article: ''They (guides and porters) will die from altitude sickness, hypothermia and pneumonia brought on by inadequate equipment and the relentless, competitive pressure to keep working.''

The article claims that despite being ill-equipped, untrained and underpaid, the local guides and porters act as ''beasts of burden'' during the week-long mountain climb.

It describes the current situation on the mountain as a ''scandal'', amounting to exploitation of the local helpers.

''The plight of the Kilimanjaro porters is one of those quiet scandals which no one likes talking about, least of all the companies which organize the lucrative trips,'' says the article.

It asserts that some 25,000 Westerners are expected to scale Mount Kilimanjaro this year, leaving behind the death of around 20 local porters.

''That figure, shockingly, is more than double the number of tourists who die on the peak every year. Moreover, the guides are young men: By the time they reach their 30s they are finished; their bodies burnt out by the pounding they take. The oldest, currently, is 32,'' states the article.

The article says that of the 150 guides registered with the Kilimanjaro National Park (KINAPA), most are self-employed.

''These young men exist in a ruthless free-market economy, vying with each other for the jobs, and risking their own health with enforced lay-offs and lack of proper re-acclimatization. Their pay is correspondingly cut-throat. Porters (who carry 20-kilogramme packs containing water, food, firewood and the tourists' possessions) earn $3 a day; guides up to $10.''

The article alleges that some local tourist companies do not pay their staff any salaries at all, but let them rely on tips.

''Guides and porters also have to fund their own equipment. Meaning that trekkers are regularly escorted to the roof of Africa by shivering Tanzanians wearing wellies and flimsy anoraks - both bought second-hand, for up to $30 a throw - and lacking gloves, hats or sunglasses,'' says the article.

It tells how one British doctor, who bluntly describes the situation as exploitation, had to treat his porters for snow blindness.

Speaking to THISDAY yesterday, Deputy Minister Maige said although the government has been receiving complaints from Mount Kilimanjaro porters on their difficult working conditions, the reports of the deaths of 20 people each year were exaggerated.

''The complaints received by my ministry from the porters are over poor pay which does not match the hardship of their work,'' he said.

He said there are specific limits set on the weight of cargo to be carried by porters on the mountain trek.

''The internationally-accepted standard is a limit of not exceeding 35 kilos for the pack to be carried by a porter. The national park makes sure tourists, guides and porters are fully equipped with the necessary gear before going up the mountain,'' Maige explained.
Source: Thisday.co.tz

SteveD
 
Naungana na Majibu ya ndugu Ezekiel Maige kwenye kujibu yake ya msingi juu ya tuhuma ya vifo vya Guides & porters wanaopanda mlima kilimanjaro.

Nikweli kabisa idadi ya vifo vya Guides & portes 20 kwa mwaka ni uzushi! Sina rekodi ambayo inanionyesha kuwa kuna guide ambaye alishakufa akiwa anapandisha watalii mlima kilimanjaro; kwa porters inatokea mara chache hasa katika kipindi cha mvua upandaji wake huwa mgumu na mtu huyu alikuwa na matatizo ya kiafya, na hii siyo kila mwaka lazima vifo vitokee kuna mwaka hakuna vifo na ikitokea namba haifikii kiasi hicho.

kwa wapandaji wanaotumia njia ya marangu, hut zote zina maji ya bomba na maji huchukuliwa na porter kuanzia Last water point kwenye ndoo za ujazo wa lita 20 tu, sababu kwenye level ya mita 4000Juu ya usawa wa bahari maji hayapatikani: na hizi route zingine zote maji yanayotumika ni ya chemchem kutoka Kili.

Anaposema wanabeba kuni, kwa ajili ya kufanyia nini, kweli unaweza ukapikia kuni ndani ya hema? kule majiko yanayotumika ni ya gesi, na kipindi cha kuni ni karne ya 19 ndiyo zilitumika, labda na idadi hiyo ya vifo aliirekodi karne hiyo!

Kama alivyoeleza Bwana Maige kuwa tatizo kubwa ni mvutano wa kiwango cha mishahara, hata nami pia nililizungumzia kwenye post yangu ya awali na kwa swala la Vifaa vya kupandia Mlima kwa Guides & Portes nami nilieleza vivyo hivyo

He said there are specific limits set on the weight of cargo to be carried by porters on the mountain trek.

’’The internationally-accepted standard is a limit of not exceeding 35 kilos for the pack to be carried by a porter. The national park makes sure tourists, guides and porters are fully equipped with the necessary gear before going up the mountain,’’ Maige explained
.

.....Naifahamu freezing Point ya Uhuru Peak ni kiboko mtu asikuambie..lakini very adventure!
 
Asante kwa article hii. Kuna jamaa ofisini kwangu wawili, wanapanda mlima Kilimanjaro mwaka huu. Mmoja mwezi wa tisa, mwingine bado ana pangilia. Nimewasogezea article nione wanasemaje.
 
Everyone will say we want sustainble tourism BUT to find someother people are not sustainable by the system.
 
Ila kwenye hiihii article imeelezwa kwamba wapandaji wameongezeka sana Kilimanjaro kwasababu kule Everest kwa sasa kuna "strict control" ya nani wanapanda na nani wanawaongoza wapandaji kwani hio ndio njia pekee ya ku-control huo mlima.

Kwa bahati mbaya Waziri hajazungumzia hili la ku-control wapandaji na waongozaji wapo "controlled" vipi.
 
kama taifa linataka kukuza utalii, nashindwa kuelewa kwanini hadi sasa hakuna hata relikopta moja kwenye kilimanjaro. ,......safety ya watalii inatakiwa kuwa sawa na safety ya mtanzaia guide wa mlima.
hata kama guide anapipwa mshahara wa kumpeka mgeni mpaka juu, mshahara ni mdogo wa kumuwezesha yeye kununua vifaa vya kumlinda na baridi ya mlimani.
guides kumi kufa kwa mwaka ni wengi mno, na serikali lazima ilitizame uzuri, na ibuni mbinu za kukomesha tatizo hilo

Who cares, zaidi ya hela hakuna wanachojali. Unazumngumzia helikopta wakati hata ambulance haipo akilini. Ndugu yangu hii ni Tanzania, moeny means much more than peoples lives.
 
Hili linonekana ni swala la kutilia maanani. Sijawai kufika kwenye mlima kilimanjaro lakini kama huyu muandisha anachosema ni kweli, then tusubiri tuu kidogo kabla hawajanza campain ya kupinga swala la kwenda kupanda milima third world.

Kama tourism inaliletea taifa more than 10% ya total revenue, jee ni kwa nini hatuspend more kuwekeza kwenye swala zima la utalii. Kwa nini asipewe mtu tenda kuweka store itakayo uza brand new equipments za kupandia mlima? Kwa nini hao wanakweza watu milima hawapei brash mara kwa mara katika swala hili.

Watu weupe ni maharufu kwa kusimamia assumptions zao zikubalike kwenye jamii. Sasa huyu muandishi anaweza kuliubiri ili swala over and over likapata attention kwenye media zao, then ili revenue yetu tuyaipata kupitia utalii ikawa adithi ya kalle.

Nilivyomuelewa author wa article hiyo, hana haja ya kuwatisha watalii wasije huku ili tukose revenue bali anaonyesha jinsi gani watu wetu[ hao porters] wanavyonyanyaswa na kunyonywa katika biashara hii na sisi wenyewe bila kuwatetea watu wetu! Sio kana kwamba vifaa vya kutumia kujihifadhi na hali ya hewa wakati wa kupanda mlima Kilimanjaro havipo bali ujira wanaolipwa ni kiduchu sana; hautoshi kununulia vitendea kazi! Ni muhimu wabunge wa Kilimanjaro wakahakikisha kuwa hawa wapiga kura wao wanapata treatment kama binadamu; ujira wao uendane na uzito wa kazi wanayofanya.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom