Kashfa nzito ndani ya CCM: Mkurugenzi atafuna fedha ya NSSF ya walalahoi

shosholozha

Member
May 30, 2013
7
5
Chama hiki kikubwa na kinachoongoza nchi kimeingia katika kashifa nzito ya mda mrefu ya kutafuna fedha za wafanyakazi wake Z za nssf na pia kuwalipa mishahara midogo tofauti na maagizo ya serikali inayoiongoza.miaka kumi hakuna nyongeza yoyote ya mishahara.

Tasisi tanzu ya CCM ya Peoples Media Communication Ltd (PMCL) inayomilki kituo cha redio cha Uhuru FM. PMCL inakabiliwa na kashifa ya kutafuna hera za NSSF walizokatwa wafanyakazi wake zaidi ya milioni 60 na tayari mikakati ya mkurugenzi wa tasisi hiyo ya ccm bwana mikidadi mahamudi kupelekwa mahakamani iko mbioni. Fedha hizo zinadaiwa kuwa zimetafunwa na mkurugenzi huyo (mikidad mahamudi) na muhasibu wake.

Mkurugenzi huyo amekuwa akiwakata wafanyakazi hao fedha za nssf na kuwaeleza kuwa anazipeleka NSSF lakini hazifiki huko kunakohusika, hayo yamegundulika baada ya baadhi ya wafanyakazi kwenda ktk ofisi za nssf ili kujuwa kama michango yao inapelekwa au lah ndipo walipoambiwa kuwa hakuna michango yao iliyowasilishwa hapo kwa takribani miezi 24.

Wafanyakazi hao kila wanapojaribu kuwauliza mabosi wao juu ya michango yao ya nssf wanatishiwa kufukuzwa kazi .ndipo walipotafuta njia nyingine ya kuuhabarisha umma wa waTZ juu ya wizi huu wa haki yao.

Pamoja na hayo pia kuna malalamiko ndani ya CCM yenyewe na tasisi zake juu ya mishahara midogo. Wanasikitika sana kuwa wanafanyakazi katika mazingira magumu nay a hatari lakini mishahara yao bado ni ile ile ya mwaka arobaini na saba. Wanasema ni mwaka wa kumi sasa bado mishahara ni ileile, haijawahi kufanyiwa mabadiliko yoyote wakati hali ya maisha inabadilika kila mwaka na kila wakati.

Yapo mambo mengi pale redio uhuru ambayo yanatakiwa kuchunguzwa juu ya ufujaji wa pesa za tasisi hiyo,kashifa ya mkurugenzi huyo kujihusisha na ngono kwa watoto wa kike wanaoomba ajira ktk tasisi hiyo, dhuruma kwa wanaopeleka matangazo ya biashara ktk redio hiyo, ukabila, udini, ajira za urafiki na undugu n.k.

Ki ukweli tunaomba tasisi zinazohusika zifanye uchunguzi wa malalamiko haya watagundua na mambo mengine mengi ambayo hatujayaandika hapa.

Kama kweli CCM wanataka redio yao isonge mbele ,basi wafanye uchunguzi na jitihada za kurekebisha hali hii pale redio uhuru.
Wandugu naomba kuwasilisha haya machache kwa wahusika na pia kwa umma wa watanzania woote.
 
No surprises - typical magamba. Kinana upo? Au nawe una mazito ya kwako mbele ya wananchi?
 
huyu braza micky nilikuwa nadhani ana akili alipokuwa mtangazaji radio one until i found out kuwa ni gamba la kobe..
 
Sijaona jipya hapo kwa ufisadi ni kauli mbiu yao. Na pia waache wafu wawazike wafu wenzao
 
JE ingekuwa ni kashfa ya upande wa pili isingekuwa news? Waacheni wafu wazike wafu wao. Kama serikali ya CCM imechakachua mikataba ya madini bila huruma, na wanaendelea kuua tembo wetu bila huruma watashindwa kuwachakachua hao jamaa wa Uhuru FM na Kampuni zai Tanzu?

Kwani SUKITA inaendeleaje? Jamani mnauliza makofi polisi?
 
Chama hiki kikubwa na kinachoongoza nchi kimeingia katika kashifa nzito ya mda mrefu ya kutafuna fedha za wafanyakazi wake Z za nssf na pia kuwalipa mishahara midogo tofauti na maagizo ya serikali inayoiongoza.miaka kumi hakuna nyongeza yoyote ya mishahara.

Tasisi tanzu ya CCM ya Peoples Media Communication Ltd (PMCL) inayomilki kituo cha redio cha Uhuru FM. PMCL inakabiliwa na kashifa ya kutafuna hera za NSSF walizokatwa wafanyakazi wake zaidi ya milioni 60 na tayari mikakati ya mkurugenzi wa tasisi hiyo ya ccm bwana mikidadi mahamudi kupelekwa mahakamani iko mbioni. Fedha hizo zinadaiwa kuwa zimetafunwa na mkurugenzi huyo (mikidad mahamudi) na muhasibu wake.

Mkurugenzi huyo amekuwa akiwakata wafanyakazi hao fedha za nssf na kuwaeleza kuwa anazipeleka NSSF lakini hazifiki huko kunakohusika, hayo yamegundulika baada ya baadhi ya wafanyakazi kwenda ktk ofisi za nssf ili kujuwa kama michango yao inapelekwa au lah ndipo walipoambiwa kuwa hakuna michango yao iliyowasilishwa hapo kwa takribani miezi 24.

Wafanyakazi hao kila wanapojaribu kuwauliza mabosi wao juu ya michango yao ya nssf wanatishiwa kufukuzwa kazi .ndipo walipotafuta njia nyingine ya kuuhabarisha umma wa waTZ juu ya wizi huu wa haki yao.

Pamoja na hayo pia kuna malalamiko ndani ya CCM yenyewe na tasisi zake juu ya mishahara midogo. Wanasikitika sana kuwa wanafanyakazi katika mazingira magumu nay a hatari lakini mishahara yao bado ni ile ile ya mwaka arobaini na saba. Wanasema ni mwaka wa kumi sasa bado mishahara ni ileile, haijawahi kufanyiwa mabadiliko yoyote wakati hali ya maisha inabadilika kila mwaka na kila wakati.

Yapo mambo mengi pale redio uhuru ambayo yanatakiwa kuchunguzwa juu ya ufujaji wa pesa za tasisi hiyo,kashifa ya mkurugenzi huyo kujihusisha na ngono kwa watoto wa kike wanaoomba ajira ktk tasisi hiyo, dhuruma kwa wanaopeleka matangazo ya biashara ktk redio hiyo, ukabila, udini, ajira za urafiki na undugu n.k.

Ki ukweli tunaomba tasisi zinazohusika zifanye uchunguzi wa malalamiko haya watagundua na mambo mengine mengi ambayo hatujayaandika hapa.

Kama kweli CCM wanataka redio yao isonge mbele ,basi wafanye uchunguzi na jitihada za kurekebisha hali hii pale redio uhuru.
Wandugu naomba kuwasilisha haya machache kwa wahusika na pia kwa umma wa watanzania woote.
Mkuu ahsante kwa taarifa na kuwaanika magamba.natumaini kilio chako kitafika penyewe...tanzania daima tusaidieni kuanika huu uozo ili umma wa watz ujue uchafu na dhuluma hii wanayofanyiwa watz wenzetu
 
Niliwahi kuomba kazi pale miaka tisini kitengo hiki kikiwa chini ya Ahamed Kipozi. Alinila kichwa/alinitosa/hakunipa kazi.
 
Chama hiki kikubwa na kinachoongoza nchi kimeingia katika kashifa nzito ya mda mrefu ya kutafuna fedha za wafanyakazi wake Z za nssf na pia kuwalipa mishahara midogo tofauti na maagizo ya serikali inayoiongoza.miaka kumi hakuna nyongeza yoyote ya mishahara.

Tasisi tanzu ya CCM ya Peoples Media Communication Ltd (PMCL) inayomilki kituo cha redio cha Uhuru FM. PMCL inakabiliwa na kashifa ya kutafuna hera za NSSF walizokatwa wafanyakazi wake zaidi ya milioni 60 na tayari mikakati ya mkurugenzi wa tasisi hiyo ya ccm bwana mikidadi mahamudi kupelekwa mahakamani iko mbioni. Fedha hizo zinadaiwa kuwa zimetafunwa na mkurugenzi huyo (mikidad mahamudi) na muhasibu wake.

Mkurugenzi huyo amekuwa akiwakata wafanyakazi hao fedha za nssf na kuwaeleza kuwa anazipeleka NSSF lakini hazifiki huko kunakohusika, hayo yamegundulika baada ya baadhi ya wafanyakazi kwenda ktk ofisi za nssf ili kujuwa kama michango yao inapelekwa au lah ndipo walipoambiwa kuwa hakuna michango yao iliyowasilishwa hapo kwa takribani miezi 24.

Wafanyakazi hao kila wanapojaribu kuwauliza mabosi wao juu ya michango yao ya nssf wanatishiwa kufukuzwa kazi .ndipo walipotafuta njia nyingine ya kuuhabarisha umma wa waTZ juu ya wizi huu wa haki yao.

Pamoja na hayo pia kuna malalamiko ndani ya CCM yenyewe na tasisi zake juu ya mishahara midogo. Wanasikitika sana kuwa wanafanyakazi katika mazingira magumu nay a hatari lakini mishahara yao bado ni ile ile ya mwaka arobaini na saba. Wanasema ni mwaka wa kumi sasa bado mishahara ni ileile, haijawahi kufanyiwa mabadiliko yoyote wakati hali ya maisha inabadilika kila mwaka na kila wakati.

Yapo mambo mengi pale redio uhuru ambayo yanatakiwa kuchunguzwa juu ya ufujaji wa pesa za tasisi hiyo,kashifa ya mkurugenzi huyo kujihusisha na ngono kwa watoto wa kike wanaoomba ajira ktk tasisi hiyo, dhuruma kwa wanaopeleka matangazo ya biashara ktk redio hiyo, ukabila, udini, ajira za urafiki na undugu n.k.

Ki ukweli tunaomba tasisi zinazohusika zifanye uchunguzi wa malalamiko haya watagundua na mambo mengine mengi ambayo hatujayaandika hapa.

Kama kweli CCM wanataka redio yao isonge mbele ,basi wafanye uchunguzi na jitihada za kurekebisha hali hii pale redio uhuru.
Wandugu naomba kuwasilisha haya machache kwa wahusika na pia kwa umma wa watanzania woote.

CCM hii hii inayopata ruzuku ya Tsh 1 Bilion kwa mwezi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom