Kashfa nzito,kigogo CCM Musoma Mjini aua ushirika imara SACCOS,Katibu Dinna Sman aiua Musoma SACCOS LTD

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,468
2,000
Katika hali hisiyo tarajiwa,mbunge wa Musoma mjini amejikuta katika kashifa nzito ya kuhujumu chama cha ushirika kinachojulikana kwa jina la IMARA SACCOS LTD.
kiongozi huyo inasemekana kwanza aliingiza fedha za ruzuku kwenye chama hicho huku akiziweka chini ya usmamizi wa shemeji yake ambaye alikuwa mwenyekiti wa chama hicho.

Chanzo cha habar kinasema mbunge huyo aliingiza fedha kweny chama cha ushirika kama ruzuku kwa maana ya fedha ambazo wananchi maskini wangeweza kukopeshwa na kuzitumia katika biashara ndgo ndgo.

Wakat wa mchakato wa kuingiza fedha hizo,hakuna mawasiliano yyte yaliyofanyika kati mbunge huyo na ofisi ya ushirika mkoa,kitu ambacho mbunge yeye anasema aliweka Ruzuku ila shemeji yyake ambayye alikuwa mwenyekiti anadai kuwa haikuwa RUZUKU bali zile fedha zilikopeshwa kweny chama na mbunge huyo.

Kutokana na kauli hizo mbili tofauti baada ya malalamiko kuwa mengi kutoka kwa wanachama,ofisi ya ushirika mkoa iliamua kuunda Timu ya kuchunguza ndipo walipo bahini ubadhilifu mkubwa wa fedha za wanachama na chama kwa ujumla.

Baada ya ripot kukamilika,oungozi wa k/mrajisi mkoa uliamua kumuondoa Shemeji wa mbunge kwenye madaraka kitu ambacho kimepelekea mpka k/mrasiji kushushwa cheo.

Akiongea kwa uchungu afsa mmoja ambae hakuwa tyr jina lake litajwe,amesema mbunge huyo na shemeji ake wao ndio walio kihujumu chama cha ushirika imara kwa kukigeuza kuwa mali yake.

Afsa huyo ameenda mbali zaid na kudai kuwa mbunge huyyo pamoja na Shemeji yake wanaonekana kuwa na kinga ya karbu kutoka kwa mkuu wa wilaya huyu aliopo kwani amekuwa akiwatetea ili hali si watu wasafi.

Sambamba na ilo kigogo mwingine wa ccm kwa jina DINNA ambae ni Katibu wa ccm wilaya fulani nchini nae ameingia kwenye kashifa nzito baada ya yeye pia kuusishwa kukiua chama cha USHIRIKA CHA MUSOMA ambapo kabla ya uteuzi alikuwa mjumbe wa bodi ya chama cha ushirika cha MUSOMA SACCOS LTD.

Akiongea nasi kwa jina la kuto kutajwa jina,alisema vyama vya ushirika mkoa wa Musoma vimeujumiwa na viongozi wa ccm enzi hizo na sasaiv mfano anamtaja huyo katibu wa ccm kuwa nae alipelekea chama hicho kupata mikopo,na yeye na bodi iliyopo madarakani walijikopesha MAMILIONI YA FEDHA NA HAWALIPI JAMBO AMBALO LIMEPELEKEA OFISI YA CHAMA CHA USHIRIKA KUFUNGA,

ndgu yangu chama cha Musoma saccos kimeujumiwa na viongozi wa chama cha mapunduzi kwa kuanza na mwenyekiti ambyae sasa hiv alipelekwa Chato kufufua chama cha ushirika,kuna huyo mama mmoja sasa hiv ni mshaur wa ccm mkoa,anaitwa LUCIA,PAMOJA NA HUYO DINNA yani wote hawa wanamamilioni ya kutosha na hawalipi na viongozi wetu mkoa na wilaya ndo wanawakingia kifua.

Sisi maafisa tukizungumza sanaa unajikuta kwenye matatzo makubwa ikiwemo kuamishwa kupewa dimosheni ww fikilia K/mrajisi wa mkoa kutolewa hapa kupelekwa Wilaya magu kwenda kuwa afsa wa kawaida kisa kumwondoa mwenyekiti wa imara anaeshirikiana na Mbuge kuua vyama.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
97,906
2,000
Uvccm walishasema kuwa ccm hakuna aliye msafi

Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,359

Mkoa wa Musoma uko nchi gani Mkuu sifi leo ? Naona kama mna vita huko.
 
Barieda

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
1,409
2,000
Mkuu tuliza akili kwanza ili uandike taarifa iliyokamilika, maake naona unaandika taarifa kama ya gazeti la Tanzania Daima.
 
sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,468
2,000
Pia mkumbushe kuwa ngazi ya wilaya au mkoa hakuna vigogo, vigogo ni viongozi waandamizi wa chama walioko makao makuu ya chama. Mfano Dr. Mashinji - CDM - UFIPA.
Akili zako mbovu vigogo hata kweny familia wapo baba yko ni kigogo hujui tu.
 
mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,197
2,000
mbona mbowe amejikopesha ruzuku husemi
Kama mwenzako amefanya kosa likazungumzwa haizuii kosa la mwingine kusemwa, Rais anataka mafisadi wote walio ua viwanda na vyama vya ushirika wafikishwe mahakama, watu wanajitahiji kuwataja wewe unakuja na ngonjera, si bure rais anawaita wapumbavu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom