KASHFA: Mbunge atetea TAKURURU baada ya kufutwa kesi yake ya ufisadi

Kwanza huyu mbunge MUNDE wa viti maalum TABORA aliiba hela za manispaa za ujenzi wa stendi wa mji wa Tabora mjini zaidi ya m 280 na walikuwa na kesi mahakamani ambayo iliwahusisha mwasibu wa manispaa,mkurugenzi pamoja na yeye MUNDE akiwa kama cashee wa manispaa.Hawa ndiyo wabunge wa CCM ambao wanawakilisha wananchi bungeni
 
Hivi haya Mabunge ya vitii maalumu ya CCM sijui huwa wanayaokota wapi haya mama nafikiri katika ma guest house. Ndiyo Huyo Munda Tambwe ninamfahamu kazi yake ilikuwa kushinda Tabora Orion Hotel kabla ya kuibiliwa na kigogo wa CCM na kuzawadia huo ubunge wa viti maalumu ndiyo maana anatoa pumba. IQ yake ndogo sana. Dawa ya kukomesha hivi viti maalumu ni KATIBA MPYA hatutaki tena huo upambavu wa VITI MAALUMU!

BTW halafu huyu Joseph Ngonyani sio ndiyo yule mzee aliyekuwa PS wizara ya Elimu wakati mzee Mwinyi. Tukamuita pale Nkurumah akashindwa kuongee kiingereza, akambembeleza aongee kiswahili tukagoma na hakuna alichoongea. Alioprudi wizarani kesho yake Mzee Mwinyi akamfukuza kazi. Naye ni Mbunge kweli?? CCM jamani mnaabisha. The dude couldn't talk even a single sentence of english, leo hii ni mbunge??! This is not a joke waaulizeni waliokuwepo mlilmani 1989/1990. Kuhusu Munda Tambwe ulizeni wakazi wa Tabora watakwambia ni ch**nd**a mwandamizi pale TBR.

Huyo mama aitwa Munde sio Munda. Ni mbunge wa Tabora Viti maalum. Ndio walewale....ah! Huyo Ngonyani unayemuongelea ni yupi ebu fafanua maana kuna Joseph Mbilinyi na Steven Ngonyani (yule Prof. Majimarefu mganga wa kienyeji) sasa ni yupi unayemsema?
 
fuatilieni wakuu
mathias chikawe ndiye anayehusika na kawataja waingereza watatu kuwa ndio waliogawana ile rushwa

UPDATES
ni andrew chenge ametajwa na mh chikawe kuwa hana tuhuma zozote kuhusiana na kashfa ya rada. hayo ni kwa mujibu wa takukuru na SFO.. anasema kama kuna aliye na ushahidi wa kuisaidia serikali mle bungeni au nje ya bunge ampelekee hata kesho na chenge atafikishwa mahakamani.

pia amempongeza hosea kwa kazi nzuri na anataka asaidiwe ili afankiwe zaidi.. anaendelea, tumsikilize....

Mungu wetu yu hai, hawa watu iko siku watashikishwa adabu.
 
Hao ndo wenye chama na serikali pia!! Chenge for Prime Minister in 2015 while EL is the fifth president of URT.

Siwezi kushangaa hata kidogo! Kwanza hakuna Ufisadi CCM wala Magamba

Kidumu Chama Cha Mapunguani
 
Ukumbuke kuwa ni wa viti maalum ccm,unategemea nini........kwanza hata alipokuwa akiongea it seemz hajajipanga,anaishutumu wikileaks badala ya kuishutumu serikali,awaambie watu wa tabora,mimi chanzo changu cha kwanza cha habari ni MITANDAO

Jamani kama ni MB wa viti maalum wanawake kuna kila haja ya kureview-jinsi ya kuwapata isiwe lazima watoke katika vyama vya siasa (if not abolish at all) affirmative action policy inayoleta hawa special seat women representatives manake dah juzi tu mwingine naye kaja kivyake leo huyu naye katoka kihivi. Mwee kaaaazi kwelikweli
 
nasema hivi, haiwezekani mtu timamu akawa ndani ya chama kile kinachoitwa ccm, hakuna nitajieni nani ? nauliza nani yuko sawasawa, wale woote wanaugua ugonjwa wa maralia ! hakuna mwenye uthubutu wa maswala serious....!
Na malaria isipopona ndo inaitwa malaria sugu..
 
LEO asubuhi hii, Mbunge wa Viti Maalumu mkoani Tabora Munde Abdallah Tambwe (CCM) pamoja na kutaka serikali itoe tamko la kuisafisha tuhuma za rada, amemwagia sisa na kumtetea Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Dk. Edward Hosea.

Kwanza niseme wazi sina tatizo na utetezi dhidi ya Hosea maana hata mimi binafsi namtetea na napenda aendelee kuongoza Takukuru kwa sababu nyingi ambazo hapa si mahala pake, lakini hoja yangu ni huyu Tambwe kujadili Takukuru baada ya kesi yake kuvurugwa mkoani Tabora.

Kwanza kabisa msaidizi mkuu wa Hosea anayeitwa Kigoni ametokea Tabora na ndiye aliyeanza kumchunguza Tambwe akiwa Kamanda wa Takukuru Tabora, lakini utetezi wa Tambwe kwa Takukuru unatia shaka maana kesi yake ya wizi wa fedha za mishahara Manispaa ya Tabora imekwisha katika mazingira tata baada ya Takukuru kufanya makosa katika uendeshaji mashitaka na kuifanya mahakama kufanya maamuzi.

Kwa Tambwe kujadili Takukuru, ni katika kujipendekeza kesi dhidi yake isiendelezwe lakini nadhani kama kweli Takukuru wanafanya kazi vyema atakuwa amejichongea badala ya kujisaidia maana amewakumbusha kama walikuwa wamemsahau.

Kwa kufupi hata CCM kumpitisha TAmbwe Tabora wakati wakijua alikua na kesi walichemsha na wamekosea sana kumbeba mla rushwa tena ya mishahara.

Tumfahamu Tambwe mwenyewe.

GENERAL
Salutation
Honourable
Member picture
1581.jpg

First Name:
Munde
Middle Name:
Tambwe
Last Name:
Abdallah
Member Type:
Special Seat
Constituent:
No Constituency
Political Party:
CCM
Office Location:
P.O. Box 836, Tabora.
Office Phone:
+255 787 228 620
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail:
Member Status:
Date of Birth

Mbona hakuna cha kumwelezea huyu mama ?Hana info zaidi ? Huyu mama ni special Seat CCM ulitegemea aseme nini ? Hii ndiyo CCM bana .Wanakula tu wengine wanatuacha tunakufa .Mimi simtetei Hosea maana hajaendesha kesi ya manufaa kwa Nchi .
 
kwanza ukijitahidi kumsafisha CHENGE NDIO unazidi kumuharibia, kwakua watu wanaanza kumkumbuka muharifu wao sugu anaelindwa na dola, nadhani lengo la Chikawe ni kuwakumbusha wa Tanzania ukweli huo, kuwakumbusha kuwa ccm bado inakumbatia Gamba lake, ccm bado inamuogopa CHENGE, LAKINI , umma unajua namna ya kuwaadhibu nyang'au na mabaka uchumi yoote , na popote pale walipo....!
 
Tumewaambia hawasikii, lakini kuna mahakama kubwa zaidi ya wananchi.

"Dont interrupt your enemy when he is making mistakes" Napolean
 
this is the guy who said in public that a million dollars is like cents to him, imagine he compared a million dollars to just some cents. & by the way, wasn't chikawe Minister for Justice at one time when this mzee was AG? & were not all controversial govt. contracts signed on this mzee's watch? This mzee Vijisenti is the least clean of them all-he is smothered with pure "dirt" by all his "personal" projects with the BoT!
If the GoT is serious about tackling corruption, they should start with Mzee Vijisenti!
 
Jamani 2015 tumpe urais Chenge au E.L. Tanzania tunaweza kutoka kiukweli. Wanaweza kuleta maendeleo mpaka wenyewe tukashangaa. Si kuna msemo wa wahenga 'Mchawi mpe mtoto alee'
 
Chonde chonde ccm msikubali kuangamia kwa watz , huyo chenge jamani ni fisadi jamani, mbona 1.5 bilioni hajasema mpaka leo alipata wapi. halafu kama zilikuwa zake why aliweka nje. Ccm tafadhali dhambi ya mafisadi isije ikahamia kwa ccm ngoja cchenge abebe msalaba wake. Hivi hawa mafisadi kweli balla wanawashawishi mpka mawaziri . Mawaziri kuweni na huruma na nchi hii . Kama mmtu ni fisadi tupa nje , jk ameteua mtetee watz kwa nin
 
Okay,kwakua wanatuaminisha,na kwakuwa wanajua tutaamini,na kwakuwa wao ndio wamekwenda uingereza na kwakuwa Chenge ndio mwanasheria ,na kwakuwa mkataba ni wa siri......na kwa kuwaaaaaaaa......aaarrrgh
Senkyu Mkuu! Umenikuna kunako mawazo yangu. Senkuyu tena senkyu sana.
 
Naomba dkt jk mtu au mteule ambaye anatetea mafisadi amfukuze haraka , halafu kama kweli chenge hakufaidi ule mgao mbona document za sfo zimemtaja. Mtu akishatajwa tu kwenye ufisadi papa namna afukuzwe utumishi wa umma. Ahsante
 
Napata taabu sana kuwa mwananchi wa nchi hii. Hivi kwanini wasitokee waungwana ku-train ma-sniper? Bila shaka umefika wakati sasa wa kujitoa muhanga kwa maslahi ya taifa. Inauma saaaaaaaaaaana sana kuona wahuni hawa wanendelea kutanua na kula maisha huku wakituona Watanzania wengine mabwege. Pumbavu saaaaaaaana
 
Back
Top Bottom