Kashfa: Hakimu akamatwa ugoni Iringa ndani ya gari kiwanja vya mahakama

Huyo mwenye mke ci ndio kashapata sababu ya kudai talaka sasa ya nini kumkimbiza na bodaboda kaenda mahakamani kudai talaka alaf mkewe kaamua kumpa uroda hakimu alafu linakimbiza gari kwa bodaboda kiazi kweli hili jamaa
 
wawe wanakamatwa hivyo hivyo..
halafu anaweza kuwa member wa jf huyo..team bazazi
 
Huyo mpiga picha yeye hana michepuko,isije kuwa mama kaiga kwa mumewe

mwizi akiibiwa mtaa mzima watajua,halafu huyu mpiga picha hajui kwamba kugongewa ni ndani,ukigongewa demu wako usiwe unatangaza tangaza ovyo mitaani.
 
Upelelezi ni sumu ya mapenzi.. Ya nini kunyatia nyayo za mkeo ama mmeo, kama hamuaminiani, ya nini kuishi kwa presha..?

ndo ujinga wa watu wengi... badala tufuate nyayo za pesa tunafuatilia za wenzi wetu ujinga kabisa
 
Back
Top Bottom