Kashfa: Hakimu akamatwa ugoni Iringa ndani ya gari kiwanja vya mahakama

Maneno haya kayaseme mbele za walevi wenzio. Mtu kazini na mke wa mtu tusimhukumu ? wewe ni ccm tu.

sawa mi ni mlevi ndo maana unanihukumu lakini ungekua mlevi pia kama mimi usingelinihukumu au nimekosea?
Huyo hakimu ni mzinzi lakini wewe ni mchawi ndo maana unamhukumu
 
sawa mi ni mlevi ndo maana unanihukumu lakini ungekua mlevi pia kama mimi usingelinihukumu au nimekosea?
Huyo hakimu ni mzinzi lakini wewe ni mchawi ndo maana unamhukumu

Bora mie mchawi kuliko wewe mzinzi. Uchawi hauambukizi ukimwi kama uzinzi
 
Huyo mpiga picha yeye hana michepuko,isije kuwa mama kaiga kwa mumewe
 
KASHFA kubwa idara ya mahakama Iringa ni baada ya hakimu mmoja wa mahakama mjini hapa kufumaniwa ndani ya gari ya mwanamke ambae ni
mke wa mpiga picha mmoja maarufu mjini hapa akivunja amri ya sita ndani ya gari nje ya ofisi ya mahakama ya
Mwanzo bomani na jirani na ofisi ya mkuu wa wilaya ya Iringa.

Tukio hilo la aibu limetokea usiku wa jana ambapo hakimu huyo ambae anadaiwa kuongoza kwa michepuko na wake za watu alifumwa na njemba lenye mke akiendelea kufungua
kurasa za mama huyo ambae pia ni mwalimu wa shule moja za kimataifa katika barabara ya Iringa-Dodoma
Mwandishi wetu alielezwa kuwa mpiga picha huyo maarufu mjini hapa kwa muda amekuwa na mgogoro wa ndoa na mkewe huyo kutokana na mwanamke kuendekeza michepuko na
wanaume tofauti tofauti akiwemo hata paroko.

Kutokana na hali hiyo jembe hilo liliamua kufikisha suala hilo mbele ya pirato kwa kutoka ndoa hiyo ivunjjike na
mahakama hiyo ya mwanzo inadaiwa kuhukumu kimagumashi na hivyo jemba hilo kuamua kusonga mbele zaidi na kesi hiyo kuwa mikononi mwa hakimu huyo aliyefumwa akivunja amri ya sita ndani ya gari.

Hakimu huyo ambae jina lake linaanzia na herufi A baada ya kufumaniwa alilazimika kuendesha gari hilo kwa mwendo kasi kukwepa kichapo huku
wakiwa hawajajisitili vema kutokana na nguo zao kuvua ,kabla ya jemba lenye mke kufukuza kwa boda boda na kuungwa mkono na waendesha
boda boda ambao walifanikiwa kumkamata hakimu huyo na mama mke wa mtu na kuwapa kichapo kiasi cha hakimu huyo.

Hata hivyo mbali ya kukutwa na mke wa mtu hakimu huyo alikimbilia polisi kufungua kesi ya kimagumashi kuwa eti ameibiwa pesa shilingili laki mbili.

Hii ni noma sana wake za watu
ni sumu

 
Mpaka paroko keshapita bado tu unasema huyo ni mkeo,hivi talaka zimesimamishwa au?

aise kuna wanawake wengne huwez kumuacha kuna mpangaji wetu alikuwa kama huyu mke wa mpgapicha tena na zaid lakn huyo jamaa kashndwa kumuacha mpaka leo although sasa amepunguza coz keshakuwa na wanawatoto kadhaa,
 
kumkaa mke wa mtu inahtaj ujasir mimi nashindwa kwakwel kuna lishangaz haliishi vituko lakin sina hata mzuka nalo......
 
aise kuna wanawake wengne huwez kumuacha kuna mpangaji wetu alikuwa kama huyu mke wa mpgapicha tena na zaid lakn huyo jamaa kashndwa kumuacha mpaka leo although sasa amepunguza coz keshakuwa na wanawatoto kadhaa,

Nikweli kuna wanawake hawaachiki Pamoja na vibweka vyao kujulikana Nahii inatoka na Mwanume kuickilizia hiyo kitu Anatoka povu akiona hayuko nae Anajua huko alikoenda anampa utamu Mwanaume mwingine bt akirud Jamaa atamuomba Msaha..! Chezeiya ulipotoka weye...!
 
Back
Top Bottom