Kashfa: Hakimu akamatwa ugoni Iringa ndani ya gari kiwanja vya mahakama

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,879
1,250
IMG_4890.JPG

KASHFA kubwa idara ya mahakama Iringa ni baada ya hakimu mmoja wa mahakama mjini hapa kufumaniwa ndani ya gari ya mwanamke ambae ni mke wa mpiga picha mmoja maarufu mjini hapa akivunja amri ya sita ndani ya gari nje ya ofisi ya mahakama ya Mwanzo bomani na jirani na ofisi ya mkuu wa wilaya ya Iringa.

Tukio hilo la aibu limetokea usiku wa jana ambapo hakimu huyo ambae anadaiwa kuongoza kwa michepuko na wake za watu alifumwa na njemba lenye mke akiendelea kufungua kurasa za mama huyo ambae pia ni mwalimu wa shule moja za kimataifa katika barabara ya Iringa-Dodoma

Mwandishi wetu alielezwa kuwa mpiga picha huyo maarufu mjini hapa kwa muda amekuwa na mgogoro wa ndoa na mkewe huyo kutokana na mwanamke kuendekeza michepuko na wanaume tofauti tofauti akiwemo hata paroko .

Kutokana na hali hiyo jembe hilo liliamua kufikisha suala hilo mbele ya pirato kwa kutoka ndoa hiyo ivunjjike na mahakama hiyo ya mwanzo inadaiwa kuhukumu kimagumashi na hivyo jemba hilo kuamua kusonga mbele zaidi na kesi hiyo kuwa mikononi mwa hakimu huyo aliyefumwa akivunja amri ya sita ndani ya gari.

Hakimu huyo ambae jina lake linaanzia na herufi A baada ya kufumaniwa alilazimika kuendesha gari hilo kwa mwendo kasi kukwepa kichapo huku wakiwa hawajajisitili vema kutokana na nguo zao kuvua ,kabla ya jemba lenye mke kufukuza kwa boda boda na kuungwa mkono na waendesha boda boda ambao walifanikiwa kumkamata hakimu huyo na mama mke wa mtu na kuwapa kichapo kiasi cha hakimu huyo.

Hata hivyo mbali ya kukutwa na mke wa mtu hakimu huyo alikimbilia polisi kufungua kesi ya kimagumashi kuwa eti ameibiwa pesa shilingili laki mbili .

Hii ni noma sana wake za watu ni sumu.

Source:
Francis Godwin
 
mkuzi

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
1,573
2,000
Hapo mwenye makosa mke wa mtu atakubali vipi wakati ana mume?
 
SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,255
2,000
Invisible! The echoing of this thread tells me that it should be placed in mmu forum. Don't you think so?
 
Last edited by a moderator:

Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
8,404
2,000
Jamani Vicky Kamata anaendeleaje hospitalini? Mwenye updates atujuze maana yeye ndio habari njia kuu hizi zingine habari mchepuko
 
Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
493
225
mnachoshangaa kitu gani member wenzangu? Inamaana ni jambo laajabu sana au kwasababu alicho kifanya sisi hatufanyi ila tunafanyaga mambo ambayo kwa mtazamo wa watu kama ninyi mnaoshanga watakushangaa pia
WE judge him because he sined differently with us
usimpime ustarabu wa mtu katika mapenzi.
 
bategereza

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
3,322
0

Maneno haya kayaseme mbele za walevi wenzio. Mtu kazini na mke wa mtu tusimhukumu ? wewe ni ccm tu.
 
isotope

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
2,392
0
mnachoshangaa kitu gani member wenzangu? Inamaana ni jambo laajabu sana au kwasababu alicho kifanya sisi hatufanyi ila tunafanyaga mambo ambayo kwa mtazamo wa watu kama ninyi mnaoshanga watakushangaa pia
WE judge him because he sined differently with us
usimpime ustarabu wa mtu katika mapenzi.
Huyo hakimu alikuwa anatafuta kuthibitisha pasipo shaka kuwa yule mwanamke siyo mwaminifu kwa mume wake. Ndiyo maana akaamua amuombe pia mchezo, naye mwanamke bila hiyana na ili kuidhihirishia mahakama kaamua kumugawia. Nafikiri kinachofuatia ni hukumu ya haki.
 
isotope

JF-Expert Member
Apr 4, 2012
2,392
0
Hakimu hii ni fedheha

Huyo hakimu alikuwa anatafuta kuthibitisha pasipo shaka kuwa yule mwanamke siyo mwaminifu kwa mume wake. Ndiyo maana akaamua amuombe pia mchezo, naye mwanamke bila hiyana na ili kuidhihirishia mahakama kaamua kumugawia. Nafikiri kinachofuatia ni hukumu ya haki.
Siyo fedheha, alikuwa anakusanya ushahidi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom