Kashfa ambazo Rais Magufuli hazitaji wala kuziongelea hadharani

Hahahahahaha hii ferry inabeba watu 200 ambao mapato ya safari moja ni 400,000/= huku gharama ya uendeshaji kwa safari ikiwa ni 8000,000/=

Ndio maana imepaki!!! Rais anaimba tumefikishwa hapa na wachache huku akiamini yeye si miongoni kwa hao wachache!!!

inapaswa mbunge mmoja aulize hili bungeni
 
inapaswa mbunge mmoja aulize hili bungeni
Hapa ndo inapokuja dhana ya kwamba kwa Magu kazi ni kazi tu haijalishi ina tija gani ndio maana katika project nyingi alizosimamia ni chache mno ndo zilikua na ufanisi!!!
 
Hahahahahaha hii ferry inabeba watu 200 ambao mapato ya safari moja ni 400,000/= huku gharama ya uendeshaji kwa safari ikiwa ni 8000,000/=

Ndio maana imepaki!!! Rais anaimba tumefikishwa hapa na wachache huku akiamini yeye si miongoni kwa hao wachache!!!
Ni ile ile
 
Magufuli alitatue suala la znz otherwise tutamkumbusha mengi sana
Tatizo la Zanzibar in Maalim SEIF! Anahofiwa kuifanya Zanzibar kituo cha magaidi kisha kuitesa Tanzania.
Ndio maana mataifa ya magharibi yanazumgumza kinafiki tu yakitoa machozi ya mamba huku yakifurahia kimyakimya Maalim SEIF kunyimwa kupewa utawala wa Zanzibar! Kama Maalim SEIF asingekuwa mgombea cuf wasingenyimwa kutawala Zanzibar!
 
Hivi hua mkiamka asubuhi hamna kazi za kufanya kutwa kuongelea maswala ya wenzeni mbona hata nyinyi mnakashfa majumbani kweni anzeni kwanza za kwenu sisi huyu tulisha msamee
 
Not all at once. Step by step. This is the best way ya kula ugali. Just wait.
 
Hizo posho za makalio za wabunge Magufuli hana mamlaka nazo, ni wabunge wenyewe wenye uwezo wa kuzitoa, hapo ndio unaona Mbowe, Lema, na Maji Marefu wanakaa meza moja, wabunge wetu ni wanafiki sana.
 
1.Uuzaaji wa Nyumba za Serikali

2.Escrow

3.EPA

4.Ripoti ya CAG ya mwaka jana kuhusu wizara ya ujenzi.

5.Meremeta

6.Kagoda

7.Richmond

8.Mh.fulani kutuhumiwa Kujiuzia Mgodi wa Kiwira kwa bei ya kutupa

9.Sitting allowance za wabunge(hii sio kashifa ila ni tatizo kuliko hata gharama za kurusha live vikao vya Bunge), n.k

Raisi Magufuli haya nayo ni majibu na mwili ni ule ule na maumivi yake huenda ni makubwa zaidi.
wewe ndie jipu
 
10- kununua kivuko cha Dar Bagamoyo kwa billion 8 bei kubwa mara dufu ya kivuko kipya cha Azam. 11- mikataba ya madini na Gesi pamoja na uagizaji Sukari nje. 12- Ujenzi wa barabara nyembamba sana kati ya ubungo na magomeni. 13- mali na mapesa ya Marehemu Gadafi pamoja na Ufujaji wa pesa wizara ya mambo ya nje.
 
N
Hahahahahaha hii ferry inabeba watu 200 ambao mapato ya safari moja ni 400,000/= huku gharama ya uendeshaji kwa safari ikiwa ni 8000,000/=

Ndio maana imepaki!!! Rais anaimba tumefikishwa hapa na wachache huku akiamini yeye si miongoni kwa hao wachache!!!
ni mbovu haifanyi kazi tena kumbuka ilinunuliwa kwa billion 8 cash ni ya 1978 wakati kivuko cha Azam ni kipya tena kikubwa mara mbili ya hicho lakini kimenunuliwa kwa billion 5 tu.
 
Jamiiforums! Great thinker! Amelipongeza gazeti la jamhuri na kusifia lililofungiwa! Kazi kwenu waandishi katamka kuwa wekeni wazi kashfa zote yy na majaliwa watatumbua! Nitafurahi mwandishi atayeandika uchafu wote wa kashfa hizo zote na kuziweka hadharani ili magu azichukulie hatua kama mchongo wa flowmeter! Najua pasco unajua kila kitu wape data jamhuri hasa uuzaji wa nyumba za serikali tuone kama atagusa!!
Hizo nyumba hata Kama Magufuli angekuwa anatawala kijeshi hawezi kuzigusa mpaka anamaliza mda wake, hilo la nyumba ni gumu kwake na haliwezi kabsa tuseme Ukweli na huu ndiyo mitihani wa kumpima vizuri.
 
1.Uuzaaji wa Nyumba za Serikali

2.Escrow

3.EPA

4.Ripoti ya CAG ya mwaka jana kuhusu wizara ya ujenzi.

5.Meremeta

6.Kagoda

7.Richmond

8.Mh.fulani kutuhumiwa Kujiuzia Mgodi wa Kiwira kwa bei ya kutupa

9.Sitting allowance za wabunge(hii sio kashifa ila ni tatizo kuliko hata gharama za kurusha live vikao vya Bunge), n.k

Raisi Magufuli haya nayo ni majibu na mwili ni ule ule na maumivi yake huenda ni makubwa zaidi.
Hamna kitu kama hicho wewe nyumbu acha kukurupuka
 
1.Uuzaaji wa Nyumba za Serikali

2.Escrow

3.EPA

4.Ripoti ya CAG ya mwaka jana kuhusu wizara ya ujenzi.

5.Meremeta

6.Kagoda

7.Richmond

8.Mh.fulani kutuhumiwa Kujiuzia Mgodi wa Kiwira kwa bei ya kutupa

9.Sitting allowance za wabunge(hii sio kashifa ila ni tatizo kuliko hata gharama za kurusha live vikao vya Bunge), n.k

Raisi Magufuli haya nayo ni majibu na mwili ni ule ule na maumivi yake huenda ni makubwa zaidi.

Barabara nyingi kuwa chini ya Kiwango ...

MV DAR es Salaam ....meli kuuu kuu ya dola milioni 10 inayoenda bagamoyo Masaa matatu ..iliokuja kukAbiliana na tatizo la foleni.

Miradi wa Dart kutokamilika hadi Sasa Hasa KIPANDE CHA UBUNGO NATIONAL HOUSING -SINZA-UZURI-MAGOMENI KANISANI ....hicho vimejengwa vituo tu,hakuna Barabara
 
Back
Top Bottom