Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

Ndugu wana JF hali ilivyo sasa kwa depot za OIL COM, ENGEN, BP, CAMEL Jamaa inaonekana wanakomaa na mgomo. Mpaka sasa vituo havina mafuta.

Hii inaonyesha kwamba kama nchi ikiendeshwa na Wafanyabiashara tunaelekea wapi sasa, Jamani Tatizo la hii nchi nini hasa, Hatuna Elimu, Pesa zina watu kuliko serikali.

Ipo siku hii nchi JWTZ waichukue.
 
Huu Ni mtazamo for those who cant think loudly around issues!!!!, narrow minded person anaeendeshwa na ushabiki usiokuwa na maana. Watendaji sisi hatuwatambui, Sisi tunawatambua viongozi wa kisiasa, kwani wao ndo wamepewa dhamana ya kusimamia mali za watanzania, wakawateua watu ambao wao wanawaamini, sasa kama hawatendi kwa mujibu wa matarajio ya watanzania kwa nini hawawawajibishi?

Hatuwezi kuwalaumu watendaji hata siku moja, kwa kuwa sisi hatuwajui na wala hatujawapa hiyo kazi!!!! Umenisoma bwana mzee!!!. Sisi tutaendelea kulia na viongozi wa kisiasa, wanao wakabidhi usimamizi wa mali zetu hawa watu wanaoshirikiana kula nao, matokeo yake ikifika wakati wa kuchukua hatua serikali inakuwa na kigugumizi.

Bila kejeli,hivi tunalalamika kuanzishwa kwa COPEC?
AS in,we don't want COPEC or it's been long overdue?
 
Tanganyika haina serikali wala hakuna wa kutetea watanganyika.

Wazanzibari wana serikali yao na matatizo kama haya hayapo zanzibar.

Kikwete ni raisi wa tanzania. hivyo masuala ya watanganyika hayamhusu. ndio maana jana alionekana kwenye magazeti akifurahia futari wakati nchi inaangamia

Natoa mwito kwa watanganyika wote tukutane viwanja vya mnazi mmoja asubuhi hii kujadili hatma ya nchi yetu
 
Selikali ya ccm imeprove failure.we need changes jamani tutachezewa hii michezo mpaka lini?
 
Acha hivyo hivyo hili nadhani litakuwa bonge la somo kwa mtanzania. Mwaka jana watu tumepiga kelele weeeeee tukaonekana wachochezi, waongo, tunasiasa za msimu. Pamoja na haya, itakapofiika mwaka 2015 wabongo watasahau, watalewa zile pombe za msimu na kupiga kura kwa magamba.
 
Serikali inajitahidi iwezavyo kuleta maisha bora kwa wananchi wake. Tatizo ni dogo sana yaani watendaji wake kwahiyo susiilaumu sana, ila tuwalaumu watendaji wake.
Hao watendaje ndio serikali yenyewe. Hao ni wezi wala tusiwatetee, wamewatumia hao watu kuingia madarakani,wengine wanashirikiana nao. Ufisadi mtupu!
 
Serikali ya ccm haiwezi kuwagusa wafadhiri wa chama chao lasivyo makubwa zaidi yatafumuka na watakuwa uchi wa mnyama. Kama wangekuwa watu wakawaida, mbona tamko la EWURA lilikuwa linatosha? kULIKUWA NA HAJA GANI WAZIRI KUTOA TAMKO LA PILI WAKATI TAASISI ILIYO CHINI YAKE ILISHATOA TAMKO KAMA HILO NA HALIKUTEKELEZWA?

Nadhani pia kwa mjibu wa ngereja, solution yao ni kuwapa lesseni sijui COPEC wafanye biashara hiyo wakati walikuwa wamekalia maamuzi haya kwa miaka minne sasa. Hii inaonyesha wafanyabiashara hawa wana nguvu na ndiyo wenye maamuzi ya nani apewe leseni ya biashara ya mafuta. Kama ndivyo inategemea COPeC watapata wapi hela ya harakaharaka ya kuleta mafuta wakati watoaji wa hiyo hela ni viongozi walewale ambao ndiyo wenye makampuni yaliyogoma?

Hapa kuna sinema fulani tusubiri kwa kuwa sisi ni wapole na wanyenyekevu wa moyo mapaka itakapoisha.
umesema vyema kabisa kwenye red hapo hii serikali ya mfalme juha,hawana lolote ni wafadhiri wao wa chama watafanya nini serikali wameiweka mfukoni.......................go go CCM GO GO.....................TO HELL......................
 
Hv chadema wapo wapi muda kama huu?me sielewi kwann hawajaanda maandamano mpk saiv,zaidi ya siku 7??au wao maandamano wanaandaa kma wakiwa wanataka madaraka tu? Suala la jailo wapo kimya suala la mafuta wapo kimya,jaman mananiangusha chadema,andaeni maandamano jmn tuwashinikize hawa wahuni watoke madarakani,imefika muda tuwe kama watu wa london kwa kuchoma hivi vituo vya mafuta na mali za mafisdi pai

Jana Dk.Slaa aliongea na Waandishi wa Habari kati ya vitu alivyozungumzia ni pamoja na kuandaa maandamano nchi nzima kupinga mwenendo wa mambo ulivyo.Lakini kuna haja ya moja ya wabunge wa CDM kuomba mwongozo na kuomba wabunge wapige kura ya kutokuwa na imani na PM ingawa haitatokea lkn lilete impact tu. Hali ni mbaya sana na haivumiliki.
 
jamani tuanje vp kuandamana? Tupange vp, plse toeni mawazo.

whaaaat?
muandamane siku mbili tu?
ngojeni kwanza,lets wait for a month!

Natamani sana na ni maombi yangu criss ya mafuta ichukue mwezi au miezi miwili hivi
na mgao wa umeme usipate sulihisho

Na,naomba pia gharama za bidhaa zipande bei sana ila ASIFE MTU HATA MMOJA.

Guess what happens?
TUTAPATA AKILI YA KURESPOND KWENYE ALERTS SIO MATATIZO
 
Acha wagome kabisa ilisiku mkiambiwa andamaneni mjitokeze siyo kubaki majumbani na wengine hawaendagi kupiga kura eti mwanasiasa hamsaidii chochote acha tupigike na Mungu alivyo wa ajabu si mwana CCM, CHADEMA, TLP, NCCR, UDP na n.k

Wote tunapigika kuanzia magao wa umeme, grama za maisha na sasa tatizo la mafuta.
 
Serikali inajitahidi iwezavyo kuleta maisha bora kwa wananchi wake. Tatizo ni dogo sana yaani watendaji wake kwahiyo susiilaumu sana, ila tuwalaumu watendaji wake.
Naamini pamoja na kauli hii umegundua kuwa HALI SI NZURI na hata kuwashawishi watu wakuelewe ni ngumu sana.

Hapa ndo inapokuwa ngumu mtu kuitetea serikali, yawezekana wana vitu vya kuufanya umma uiamini lakini wamevikalia wao, wanabaki kudai 'kazi ya wananchi ni kulalamika tu' sijui wakitarajia tukavunje makabati yao kujua nini kipo kwenye files?

Pole mkuu, inachosha kuwatetea hawa jamaa.
 
Serikali inajitahidi iwezavyo kuleta maisha bora kwa wananchi wake. Tatizo ni dogo sana yaani watendaji wake kwahiyo susiilaumu sana, ila tuwalaumu watendaji wake.

Kauli ya masaburi kwamba wabunge wake wanafikiri kwa kutumia m.a.k.a.l.i.o nadhani haiishii kwa wabunge hao tu.

Hivi kwa mtu kama wewe unawezaje kujitofautisha na wanaotumia m.a.k.a.l.i.o ?? serikali ni nani? na hao watendaji wa serikali ni akina nani?

Kama tutaendelea kuwa na idadi kubwa ya watu wanaotumia m.a.k.a.l.i.o kufikiria hatuwezi kamwe kujikwamua na kupiga hatua yoyote ya kimaendeleo.
 
Mi nadhani ushauri wa zitto uzingatiwe jeshi litumike vituo na maghala yafunguliwe na mafuta yatolewe bure. La sivyo wananchi tuandamane tuvamie vituo hivyo na kujichotea mafuta kwa nguvu.
 
hivi "the oom mzee punch" yupo wapi siku hizi ..... tunahitaji kunji haraka sana
 
Back
Top Bottom