Kasha la maziwa ya Dar Fresh

Hivi huwa hawahakiki kwanza kabla ya kuziweka hizo bidhaa sokoni au wote waliopo huko Dar Fresh ni vilaza?
Ni bora wangeandika kwa Kiswahili, makosa yapo kila sentences kwenye hilo box au kasha la maziwa, :D:Dme had team :)up with the Nyani Ngabu :D:D:Dkusema ni bora waachane na hizi lugha zilizokuja na majahazi. Anyway, English is not our language ni lugha ya kujifunza tusiwalaumu sana. Ni bora kuikuza lugha yetu ya Kiswahili
 
Back
Top Bottom