Sikiliza hii video na wale waliokua wanamwandama wanyamaze wamuache DC wa watu afanye kazi. Kasusura ukitaka watu wasikufuate fuate jaribu kuachana nao binafsi nimekuelewa.
Sikiliza hii video na wale waliokua wanamwandama wanyamaze wamuache DC wa watu afanye kazi. Kasusura ukitaka watu wasikufuate fuate jaribu kuachana nao binafsi nimekuelewa.
Sikiliza hii video na wale waliokua wanamwandama wanyamaze wamuache DC wa watu afanye kazi.
Kasesera ukitaka watu wasikufuate fuate jaribu kuachana nao binafsi nimekuelewa.
Ha ha ha ha Labda ni yeye kabadilisha jina si unajua mambo ya TZ?Badilisha heading... ukiandika Kasusula unatukumbusha yule mwizi wa fedha za Benki zilizokuwa zikisafirishwa na baadaye akapatikana Mbeya akitanua. Very funny, polisi wengi walitajirika lakini wengi pia walikamatwa na dola zile.