Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Mkuu wa Wilaya wa Iringa Mh. Kasesela amewataka wanaume wa mkoa wa Iringa kutembea na iipimo vya UKIMWI na pindi wakitongoza mwanamke wasikubali kufanya lolote kabla ya kupima kama mzima kama ana maambukizi ya VVU, huku akiwataka wanawake kuwanyima unyumba waume zao wanaogoma kupima VVU.