Kasema tukapime,bila kujua ye ndo possitive.

eddy brown

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
414
310
Baada ya kutembea kwa mda bila kujikinga,mwenzangu mara ei akaamua tukacheki afya zetu.Kweli tukaenda ila majibu yakaja ye ndo yuko POSSITIVE MI NEGATIVE.Hakuweza kuamini.Baada ya hapo akasema najua huu ndo mwiso wetu mi na wewe ila naomba usimwambie mtu.Mi nikasema siwezi kukuacha na simwambii mtu.Baada ya hapo nikawa natembea naye kwa kujikinga,ila nimeanza kupunguza kumuona sio kama zamani na nina nia ya kumkwepa kabisa,je nitaanzaje na ye anahisi ndo mwisho wa kuwa mtu kwani alinambia nikimuacha atajiua.
 
mh...jmn mpe pole na hongera kwa kupima ni kitendo cha ujasiri! usimuache jrb kufikiria km hiyo hali ungekuwa nayo wewe?kuwa nae karibu ht kwa kumpa moyo na upunguze kuwa unaongelea sana hrb za HIv/Aids mbele yake
 
ooooiiii! maskini,mpe pole sana, usimkimbie mpe mda ili aweze kukubaliana na hali hiyo....
 
ukimuacha nahc ndo kama umemuua kabisa endelea nae tu kumpa moyo afu na wewe pima mpaka mara 3 kwa uhakika zaidi
 
Pole sana.Sasa anataka kujiua ili ndio iwe nini? Achukuwe tahadhari tu, nawe upime tena kila miezi mitatu ndo ujiridhishe usalama wako. Otherwise kila binadamu yuko at risk, hakuna aliye salama wala hakuna sababu ya kunyoosheana vidole. Ukipima na kujitambua ndio nafuu yako maana hata ukitambua gari lako lilivyo bovu utaendesha kwa uangalif zaidi.
 
Mfanye awe mtu wa karibu yako sana ili umjenge kisaikolojia yaani kama ulikuwa unaonana naye mara mbili kwa wiki sasa fanya hata mara tatu na zaidi ila swala la mapenzi naona ungelisitisha kabisa hata yeye atakuelewa ila usiwe mtu wa kumsema maana utamuua kabla ya siku yake.
 
Huh! its work kumbe unaweza kulala na bundi ukaamka mwenye bahati dah!, sasa wew endelea nae kama mulvyokuwa hamja pima as if nothing happens, nafkiri anahitaji company yako zaidi ili asijiskie mpweke, Ila swala la mapenzi sikushauri ni hatarii
 
Hukupata maambukizi muda wote mliokuwa mkijirusha bila kinga, kwa nini udhanie kwamba unaweza kupata maabukizi sasa? Kuna watu miili yao kamwe haiwezi kupata maambukizi ya Ukimwi, labda na wewe ni mmoja wao. Endeleza tu cha peku.
 
usimwache, msongo wa mawazo utambeba haraka. Cha muhimu jipime tena wewe, halafu sio lazima mfanye ngono. Tena mwanamke mwenye mawazo hivyo anaweza kuhitaji ukaribu tu bila hata kufanya mapenzi. (ninaongea hivyo sababu nina experience).
Kama yuko tayari kuna dawa nimeshuhudia ikishusha kabisa virusi beyond detectable load na mtu akaendela na maisha pamoja na kuzaa bila tatizo.
Pia avumilia tiba rasmiitatangazwa rasmi 2015!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom