eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 310
Baada ya kutembea kwa mda bila kujikinga,mwenzangu mara ei akaamua tukacheki afya zetu.Kweli tukaenda ila majibu yakaja ye ndo yuko POSSITIVE MI NEGATIVE.Hakuweza kuamini.Baada ya hapo akasema najua huu ndo mwiso wetu mi na wewe ila naomba usimwambie mtu.Mi nikasema siwezi kukuacha na simwambii mtu.Baada ya hapo nikawa natembea naye kwa kujikinga,ila nimeanza kupunguza kumuona sio kama zamani na nina nia ya kumkwepa kabisa,je nitaanzaje na ye anahisi ndo mwisho wa kuwa mtu kwani alinambia nikimuacha atajiua.