Kaseja asilaumiwe...ni common mistakes!,tusiwakatishe tamaa wachezaji mpira ukue!

Mwanzo alipokuwa anrudi simba toka yanga aliwah sema "nilikuja kuwachunguza na sasa najua ubovu wenu" nashangaa sasa yuko jangwani
 
IMG_3881.JPG
 
Nitamshangaa yeyote kwa kumlaumu Kaseja. Kwenye kufanikiwa kokote ni lazima mwenzako mmoja alikosea wewe ndo ukafanikiwa. Hivyo Kaseja kukosea ni sehemu ya mchezo,makipa na wachezaji wengine wengi maarufu kwa wakati fulani wamefanya makosa fulani yaliyogharimu timu zao ktk mechi muhimu. Kaseja si wa kwanza,pia hatokuwa wa mwisho. Hakuna goli ndani ya dak. 90 za mchezo ambalo halitahusishwa na kosa.
 
Ww shabiki wa simba tu!..

Eti magoli ya kizembe hata mimi ambaye siyo kipa nisingefungwa halafu ww unaleta utumbo hapa.

Ingekuwa ni hivyo wachezaji wasingekuwa wanadhibiwa na makocha kwa kuwaweka bench au kuwauza,mfano tu kifa wa

zamani wa Liverpool Westverd aliuzwa kwa sababu alifungwa goli la kizembe na liverpool kulala kwa everton,unakumbuka

kilichompata Barthez gamu ya manure na R.Madrid De Lima akipiga hattrick?.

Tatizo ni siasa katika mpira wa bongo kaseja siyo kipa wa dakia yanga saizi yake ni Rhino,Coast sijui Manyema ila Yanga wamemsajili kisiasa tu uwezo hana sasa hivi.

Nyabafuu zake! Nikikutana naye mtaani namtandika ngumi ya jicho na yeye aonye machungu, haiwezekani kutufunga goli la kizembe kama lile, yeye ndiyo aliye tufunga tunajua janja yake
 
Ww shabiki wa simba tu!..

Eti magoli ya kizembe hata mimi ambaye siyo kipa nisingefungwa halafu ww unaleta utumbo hapa.

Ingekuwa ni hivyo wachezaji wasingekuwa wanadhibiwa na makocha kwa kuwaweka bench au kuwauza,mfano tu kifa wa

zamani wa Liverpool Westverd aliuzwa kwa sababu alifungwa goli la kizembe na liverpool kulala kwa everton,unakumbuka

kilichompata Barthez gamu ya manure na R.Madrid De Lima akipiga hattrick?.

Tatizo ni siasa katika mpira wa bongo kaseja siyo kipa wa dakia yanga saizi yake ni Rhino,Coast sijui Manyema ila Yanga wamemsajili kisiasa tu uwezo hana sasa hivi.

Ni kweli,mimi shabiki wa Simba.
Lakini mkuu,
kunishambulia kote huku ni kwa sababu ya matokeo ya jana? Basi naomba amani,
tuamini tu maisha yanaendelea baada ya mechi mtani.
 
Nyie watani walevi tumekwisha wazoea huwa hamuwezi kuchambua mpira kitaalam, kila mkichapwa lazima mtafute mchawi badala ya kuangalia mapungufu ya timu nzima,na ndio maana timu yenu ni nzuri sana magazetini tu. Asingedaka kaseja bado mngelaumu kwa nini hajacheza.na kwa style hiyo bora mumuweke Jerry Tegete golini maana makipa wengine wote yaani, kaseja, Ally Mustafa, Deo Munishi wote walikuwa simba hamtaacha kuwalaumu.poor you mtani mlevi
 
Amani sana mtani,si unajua jana mmetumevuruga sana yaani tulikuwa na mategemeo makubwa sana ya ushindi harafu

tunaambulia aibu kama ile!..

Ni kweli,mimi shabiki wa Simba.
Lakini mkuu,
kunishambulia kote huku ni kwa sababu ya matokeo ya jana? Basi naomba amani,
tuamini tu maisha yanaendelea baada ya mechi mtani.
 
YANGA (SIMBA VETERAN) WAMEVURUGWA.:sleepy::sleepy::sleepy::sleepy:Bingwa wa ulevi.Ukilewa ukaangusha gari watoto wa mjini wanaiita mdondo.Guess kinachofuatia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom