nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 641
- 500
Wana JF tuwafundishe wasio jua!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Simba sport club
juma k juma we luv uuu
Nitamshangaa yeyote kwa kumlaumu Kaseja. Kwenye kufanikiwa kokote ni lazima mwenzako mmoja alikosea wewe ndo ukafanikiwa. Hivyo Kaseja kukosea ni sehemu ya mchezo,makipa na wachezaji wengine wengi maarufu kwa wakati fulani wamefanya makosa fulani yaliyogharimu timu zao ktk mechi muhimu. Kaseja si wa kwanza,pia hatokuwa wa mwisho. Hakuna goli ndani ya dak. 90 za mchezo ambalo halitahusishwa na kosa.
Ww shabiki wa simba tu!..
Eti magoli ya kizembe hata mimi ambaye siyo kipa nisingefungwa halafu ww unaleta utumbo hapa.
Ingekuwa ni hivyo wachezaji wasingekuwa wanadhibiwa na makocha kwa kuwaweka bench au kuwauza,mfano tu kifa wa
zamani wa Liverpool Westverd aliuzwa kwa sababu alifungwa goli la kizembe na liverpool kulala kwa everton,unakumbuka
kilichompata Barthez gamu ya manure na R.Madrid De Lima akipiga hattrick?.
Tatizo ni siasa katika mpira wa bongo kaseja siyo kipa wa dakia yanga saizi yake ni Rhino,Coast sijui Manyema ila Yanga wamemsajili kisiasa tu uwezo hana sasa hivi.
Ni kweli,mimi shabiki wa Simba.
Lakini mkuu,
kunishambulia kote huku ni kwa sababu ya matokeo ya jana? Basi naomba amani,
tuamini tu maisha yanaendelea baada ya mechi mtani.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us
Thread starter | Title | Forum | Replies | Date |
---|---|---|---|---|
![]() |
Taulo la Kaseja lazua balaa Mbeya | Sports | 14 | |
M | Simba mstaafisheni Juma Kaseja | Sports | 8 | |
![]() |
Hatimaye Kaseja atemwa timu ya Tanzania kwenda CECAFA | Sports | 31 | |
S | Balaa Duniani. Manula Mbele ya Kaseja, wote waitwa Taifa Stars. Unampa nani alinde Goli? | Sports | 7 | |
I | Kaseja vs Manula | Sports | 16 |