Kasahau nini kwangu?

happy amos

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
251
434
alinidharau, hakunijali alinitesa sana akawa hataki hata nishike hata sim yake anaiwekea lock nikachoka munga kanisaidia nimempata ninaempenda kagundua hilo ananiandikia msg za matusi eti bado ananipenda!!!! aliniona wa kazi gani mwenzie alinisema atanipata lini?? eti anadai hakunitamkia kama kaniacha so anachojua mimi bado ni mpenzi wake nimfanyeje huyu mtu wapendwa???????????
 
mwe!! wewe bwana bado una mafeelings kwake? kuwa mkweli.
alafu huyo hafai kabisa mambo ya matusi ya nini jamani? wanaume tuache tabia hizi mbona kubwagana katika mapenzi kitu common siku hizi. achaneni kwa amani jamani
 
Mweee mwana weeeh ukibugi stepu ukarudi kwake umekwisha!!tupa kuleeee
 
mwe!! wewe bwana bado una mafeelings kwake? kuwa mkweli.
alafu huyo hafai kabisa mambo ya matusi ya nini jamani? wanaume tuache tabia hizi mbona kubwagana katika mapenzi kitu common siku hizi. achaneni kwa amani jamani

hahaha shetani akiokoka anakuwa malaika good move ingawa ni kama unaigiza hivi
 
alinidharau, hakunijali alinitesa sana akawa hataki hata nishike hata sim yake anaiwekea lock nikachoka munga kanisaidia nimempata ninaempenda kagundua hilo ananiandikia msg za matusi eti bado ananipenda!!!! aliniona wa kazi gani mwenzie alinisema atanipata lini?? eti anadai hakunitamkia kama kaniacha so anachojua mimi bado ni mpenzi wake nimfanyeje huyu mtu wapendwa???????????
Block him
 
hahaha shetani akiokoka anakuwa malaika good move ingawa ni kama unaigiza hivi

kha!! wanipongeza na kuniponda same tym....hapana bwana am a very honest man i say it black and white mbona.
kweli wanaume wanatabia za kichizi utamtukanaje....dunia inazunguka u never know utamuhitaji katika jambo gani huko mbeleni...bsides its just bad manners!!!!
 
alinidharau, hakunijali alinitesa sana akawa hataki hata nishike hata sim yake anaiwekea lock nikachoka munga kanisaidia nimempata ninaempenda kagundua hilo ananiandikia msg za matusi eti bado ananipenda!!!! aliniona wa kazi gani mwenzie alinisema atanipata lini?? eti anadai hakunitamkia kama kaniacha so anachojua mimi bado ni mpenzi wake nimfanyeje huyu mtu wapendwa???????????

Yupo ****** a.k.a boya mmoja ananifanya baadhi ya haya unayofanyiwa, nasubiri atulie asahau alonifanyia nimpige kibuti cha moyo kaabisa, full maumivuuuuu
 
Hahahahah aseee watu kwa visasi lol

Jitu lenye jeuri ya uzima dawa yake ni kiburi plus boooooooooooonge la surprise ya kumtenda, yani pale hajategemea ww ndo unalianzisha tena na mtu alomzidi kila kitu ambae yeye wameachana maili 10,000 kwa kila kitu.........siwezi toa chozi langu kwa ajili ya dagaa wa bwawa la nyumba ya Mungu mie, He will pay for my tearssssssss waapi LARA1
 
Last edited by a moderator:
Yupo ****** a.k.a boya mmoja ananifanya baadhi ya haya unayofanyiwa, nasubiri atulie asahau alonifanyia nimpige kibuti cha moyo kaabisa, full maumivuuuuu

Hivi kumbe wengi wanaumizwa na mapenzi!!!
bro Mtambuzi wat happened to that counseling class. This shouldn't be happening yo JF ladies!!!
 
Last edited by a moderator:
Shosti yuko bize na mchaga atakuja kukusapot mornie lol thats th spirit gal sio kulialia hovyo
Jitu lenye jeuri ya uzima dawa yake ni kiburi plus boooooooooooonge la surprise ya kumtenda, yani pale hajategemea ww ndo unalianzisha tena na mtu alomzidi kila kitu ambae yeye wameachana maili 10,000 kwa kila kitu.........siwezi toa chozi langu kwa ajili ya dagaa wa bwawa la nyumba ya Mungu mie, He will pay for my tearssssssss waapi LARA1
 
Last edited by a moderator:
...khaaaa mijitu ya hivyo naipenda kweli.mie.......

Ningekuwa wewe jinsi ambavyo ningemtiririsha waoaaahi hata akiniona njiani angegeuza njia

mwambie apeleke ujinga wake huko porini asilete ujinga....

Kaona unapendeza na umetulia mapenzini ndo anataka kuja kukuharibia?

Mtiririshe vibaya mno
 
Aisee.....
 
Be honest to your self, be frank and tell the man on his face its OVER! only if you mean it though,

all the best
 
Back
Top Bottom