Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
Mwakyembe anasema Report ya Makonda kuvamia Clouds Media haijakamilika kwa sababu upande wa pili haujahojiwa.. Tukiachana na ukweli kwamba Bashite alikimbia kuhojia kupitia mlango wa nyuma na kupoteza haki yake ya kujieleza, mbona yeye Mwakyembe alitoa Report ya Richmond na kuipeleka Bungeni bila kumhoji Lowasa??
Maisha bila unafiki kwa Wanafiki ni ngumu sana aiseee!!
Maisha bila unafiki kwa Wanafiki ni ngumu sana aiseee!!