Karume,mwafaka,ccm Bara Ccm Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karume,mwafaka,ccm Bara Ccm Dodoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Macos, Jun 3, 2008.

 1. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2008
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  MARA NYINGI KUMEKUWA NA KULAUMU UPANDE WA SERIKALI YA KARUME KAMA NDIO KISIKI CHA MAPATANO YOYOTE YA MUAFAKA KATI YA CCM ZANZIBAR NA CUF. LAKINI UKWELI NI KWAMBA CCM DODOMA NDIO WENYE MPINI WA HALI YA ZANZIBAR .

  KARUME HAWEZI KUZUIA AMRI YOYOTE KUTOKA CCM BARA , WAO NDIO WALOMWEKA. INAELEWEKA WAZI KWAMBA KARUME HAKUTAKIWA NA CCM ZANZIBAR WAO WALIKUA WANAMTAKA DR.GHARIB BILAL AWE RAIS WAO LAKINI CCM DODODMA NDIO IKAWA KIKWAZO HAWAKUTAKA. HIVYO KAMA CCM DODOMA WANGETAKA MUWAFAKA BASI UNGEMWAMURU TU KARUME AKUBALI LAKINI WAO NDIO HAWATAKI SIO KARUME .

  NA INAELEKEA CCM DODOMA WAKO KATIKA MPANGO MAALUM WA KUIMALIZA ZANZIBAR . HAIWEZEKANI CCM BARA WAKUBALI KUMCHAGUA MGOMBEA AMBAE NI MLEVI ....... NIAMBIENI KWELI CCM BARA WANGEWEZA KUMCHAGUA MLEVI KUWA MGOMBEA WAO?????????/ HATA SIKU MOJA HAWATOMCHAGUA LAKINI CCM BARA WAMEFANYA HIVYO KUWACHAGULIA CCM ZANZIBAR. NA KAMWE CCM DODOMA HAITOPITISHA MGOMBEA WA ZANZIBAR MWENYE UWEZO WA HALI YA JUU .

  NAAMINI DR. BILAL ALIKUA ANA KILA SIFA YA KUWA RAIS WA ZANZIBAR LAKINI ALINYIMWA NA CCM BARA KWA SABABU YA KUWEKA MTU MLEVI ILI WAITAWALE KIRAHISI MAANA NI "TUBLESS' KWENYE KICHWA ...... KWELI UTAKATAA WATU WA NCHI MOJA KUPATANA ? NI KWA SABABU YA UMBUMBU TU NA ALIWEKWA NA CCM DDOMA WAO NDIO WALOMWEKA
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  hii kali sana na inauma kweli maana ina ukweli ndani yake..... mi simoooo
   
 3. BabaH

  BabaH JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2008
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 703
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  This is not brekingnews, may be speculation!!!!!! i
  it seems to have some element of reality but needs some evidence please
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jun 3, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,364
  Likes Received: 6,396
  Trophy Points: 280
  can somebody shoot me!! so where is the breaking news hapa? Nadhani, inaeleweka, Inaelekea.. c'mmon.. hii iende kwenye hoja binafsi au hiyo "breaking news" iondolewe. Ili habari iwe Breaking News:

  a. Liwe ni jambo linalohusu maslahi ya Taifa (habari ya mti kuanguka Gezaulole siyo breaking news.. unless uwe umewaangukia watoto wa shule na kuua!)
  b. Liwe limetokea leo (within hours) - Huwezi kuwa na breaking news ya juzi!
  c. Lenye kuvuta hisia na hamu za watu - kama halina mvuto why break it!?
  d. It has to be news worthy.. the tradional "mbwa kumng'ata mtu siyo habari, ila mtu kumng'ata mtu ndiyo!"...
   
 5. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  nimekuja mbio mizigo nimeurembea kuangalia kulikoni ? kumbe pumba tupu.

  sasa ndio breaking hii?

  utani kwenye masihara mpunguze waungwana
   
 6. bokassa

  bokassa JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2008
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Macos!!!

  Acha kuhangaisha watu!!!

  Tumeacha thread za maana kukimbilia huku kumbe #$###^$%$^%$ chaaaa!!!!!!!!!!
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Akili ni nywele waungwana nakila mmoja ana nywele zake sasa kama ni ndefu ama fupi bado n jambo jingine lakini mwisho wa siku huitwa nywele .
   
 8. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  labda Macos hana nywele.... lol
   
 9. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mgewbni huyu jamani, anapaswa kuelekezwa. safi mwanakijiji, nadhani amejifunza hapo kidogo
   
 10. N

  Ndivyo Ilivyo JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2008
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jee Macos unaona vimbwanga hivyo. Unafikiri JF ni pahala pa mchezo?
   
 11. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Sawa sawa hapa tupo ukurasa mmoja, masikini mtoa mada labda alikuwa hajui vizuri hapa ni JF kumkoma nyani! Haangaliwi mtu usoni ni mawe tu!
   
 12. R

  Realist Member

  #12
  Jun 4, 2008
  Joined: Dec 11, 2006
  Messages: 90
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ni kweli CCM Dodoma (kama ulivyoiita) ndio ilimweka Karume, lakini ukumbuke ilikuwa chini ya mwenyekiti aliyekuwa na nguvu sana au kwa maneno mengine mwenyekiti mbabe aliyeweza kubadili hata tarabu mbali mbali ilimradi mambo yake yapite. Kumbuka malalamiko ya mzee Butiku. Mimi naamini kuwa Mwenyekiti wa sasa wa CCM sio kama Mkapa ndio maana Karume aliweza kutunisha misuli yake na kukataa walichokwisha kubaliana na C.U.F
   
 13. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Sasa huyo mwenyekiti mbabe ilikuwaje badala ya kuwaletea muafaka, akaishia kuwaua na risasi huko Pemba, lakini akashindwa kuwapa muafaka kama ni kitu rahisi na kinaweza kupatikana kwa kuwa mwenyekiti mbabe?

  Ushauri wa bure, think before hujaandika hapa JF!
   
 14. Bikirembwe

  Bikirembwe JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 250
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hii sio Breaking news - unaona madhara yake badala ya watu kuchangia mada ambayo kwa mtazamo sio mbaya wanaanza kukurushia madongo.

  Lakini naona Mzee M'kiji kakuelewesha na umeongeza chochote na mara nyengine utajirekebisha.

  Nikuulize huu ulevi wa Karume una ushahidi nao?
   
Loading...