Karume: Heche hajafanya kosa kumtaka fundi kuvua sare ya CCM ndipo aendelee na Kazi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,904
141,855
Wakili Msomi Fatma Karume amesema Chacha Heche wa Chadema hajafanya kosa lolote kumtaka fundi mchundo kada wa CCM kuvua sare za chama chake kabla hajaanza Kazi

Fatma amesema nyumba ni ya Heche na kada wa CCM hajalazimishwa kufanya kibarua kwa Kamanda wa Chadema
 
Chadema inatoa ajira hadi kwa wana ccm ila ccm wanaleta ujuaji wakati kwa miaka 60 wameshindwa kuajiri hata makada wao
 
Wakili Msomi Fatma Karume amesema Chacha Heche wa Chadema hajafanya kosa lolote kumtaka fundi mchundo kada wa CCM kuvua sare za chama chake kabla hajaanza Kazi

Fatma amesema nyumba ni ya Heche na kada wa CCM hajalazimishwa kufanya kibarua kwa Kamanda wa Chadema
Yaani Mimi Man U nikuajiri kuezeka nyumba yangu halafu nikuone na jezi lako la Liverpool? Utarudi kwenu Bro.
 
chama cha tozo mura , jamaa katisha sana anadai mura hilo dekio mraaaaaaaaa kama huna fulana uje nikupe, KANDA MAALUM OYEEE
 
Hiki kitu ni kibaya sana tunashangilia na kukifurahia leo kesho kikitokea kwamba wenye itikadi fulani tu ndio wapate vibarua kwakuwa serikali ipo chini yao......itakuwa patashika sana
 
Back
Top Bottom