Karume ataka kumjua aliyempigia KURA YA HAPANA

Kitila,
hebu naomba unisaidie zaidi, hivi mlipata kura ngapi? au asilimia ngapi kule Tanzania visiwani? kwenye uchaguzi wa 2005?

Mzee sitembei na haya mastatistics, lakini nafikiri kuna taarifa kamili kwenye website ya CHADEMA, hebu jaribu kupitia huko. Vinginevyo hebu mtonye Mnyika najua lazima atakuwa na haya madataz.
 
Mzee sitembei na haya mastatistics, lakini nafikiri kuna taarifa kamili kwenye website ya CHADEMA, hebu jaribu kupitia huko. Vinginevyo hebu mtonye Mnyika najua lazima atakuwa na haya madataz.
Dah!.. miaka 13 baadae huyu Mzee ni kada wa Ccm anakula mema.Maisha haya....
 
Back
Top Bottom