Karo au ada ya ualimu wa chekechea ni kiasi gani?

walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
4,796
5,520
Wakuu habari za jioni, natumai wazima wa afya.

Jamani naomba kufahamu karo au ada ya uwalimu wa chekechea ni kiasi gani? Na je vyuo gani ambavyo vinatoa hiyo kozi ya ualimu wa chekechea?
 
Back
Top Bottom