Wakazi wa kijiji cha maparawe kata ya mchaulu halmashauri ya wilaya ya masasi mkoani mtwara wanalazimika kutembea zaidi ya kilometa 20 huku wakiwa wamewabeba wagonjwa kwy matenga, baiskeli na vitanda chakavu kuwapeleka hospitali iliyopo mjini hapa.
Hatua hiyo inatokana na zahanati iliyopo kwenye kata hiyo kuwa mbali na kijiji hicho.
Wakizungumza na NIPASHE kijijini hapo, wakazi hao walisema kwy maeneo yao hakuna zahanati wala kituo cha afya hivyo kukosa huduma ya afya.
Mtazamo: mwaka huu tumetimiza miaka 52 ya uhuru kwa namna hii tija ya kupata uhuru na lile lengo la mwalimu la kuwaondoa maadui watatu, yaani ujinga, umaskini na maradhi uko wapi? na yale mafanikio wanayotangaza serikali ya ccm kuwa wamethubutu, wameweza na wanasonga mbele je wamewza lipi? tafakari na chukua hatua.