Karne ya 21; Wagonjwa wabebwa kwenye matenga

Lua

JF-Expert Member
May 19, 2011
704
0
Wakazi wa kijiji cha maparawe kata ya mchaulu halmashauri ya wilaya ya masasi mkoani mtwara wanalazimika kutembea zaidi ya kilometa 20 huku wakiwa wamewabeba wagonjwa kwy matenga, baiskeli na vitanda chakavu kuwapeleka hospitali iliyopo mjini hapa.

Hatua hiyo inatokana na zahanati iliyopo kwenye kata hiyo kuwa mbali na kijiji hicho.

Wakizungumza na NIPASHE kijijini hapo, wakazi hao walisema kwy maeneo yao hakuna zahanati wala kituo cha afya hivyo kukosa huduma ya afya.

Mtazamo: mwaka huu tumetimiza miaka 52 ya uhuru kwa namna hii tija ya kupata uhuru na lile lengo la mwalimu la kuwaondoa maadui watatu, yaani ujinga, umaskini na maradhi uko wapi? na yale mafanikio wanayotangaza serikali ya ccm kuwa wamethubutu, wameweza na wanasonga mbele je wamewza lipi? tafakari na chukua hatua.
 

Henge

JF-Expert Member
May 14, 2009
6,934
2,000
wakazi wa kijiji cha maparawe kata ya mchaulu halmashauri ya wilaya ya masasi mkoani mtwara wanalazimika kutembea zaidi ya kilometa 20 huku wakiwa wamewabeba wagonjwa kwy matenga, baiskeli na vitanda chakavu kuwapeleka hospitali iliyopo mjini hapa.

Hatua hiyo inatokana na zahanati iliyopo kwenye kata hiyo kuwa mbali na kijiji hicho.

Wakizungumza na nipashe kijijini hapo, wakazi hao walisema kwy maeneo yao hakuna zahanati wala kituo cha afya hivyo kukosa huduma ya afya.

Mtazamo: Mwaka huu tumetimiza miaka 52 ya uhuru kwa namna hii tija ya kupata uhuru na lile lengo la mwalimu la kuwaondoa maadui watatu, yaani ujinga, umaskini na maradhi uko wapi? Na yale mafanikio wanayotangaza serikali ya ccm kuwa wamethubutu, wameweza na wanasonga mbele je wamewza lipi? Tafakari na chukua hatua.
cha ajabu nini wakati mwenyekiti wachama anafanyiwa uchunguzi marekani mkuu.
 

Zuberi Magoha

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
208
0
wakazi wa kijiji cha maparawe kata ya mchaulu halmashauri ya wilaya ya masasi mkoani mtwara wanalazimika kutembea zaidi ya kilometa 20 huku wakiwa wamewabeba wagonjwa kwy matenga, baiskeli na vitanda chakavu kuwapeleka hospitali iliyopo mjini hapa.

Hatua hiyo inatokana na zahanati iliyopo kwenye kata hiyo kuwa mbali na kijiji hicho.

wakizungumza na NIPASHE kijijini hapo, wakazi hao walisema kwy maeneo yao hakuna zahanati wala kituo cha afya hivyo kukosa huduma ya afya.

mtazamo: mwaka huu tumetimiza miaka 52 ya uhuru kwa namna hii tija ya kupata uhuru na lile lengo la mwalimu la kuwaondoa maadui watatu, yaani ujinga, umaskini na maradhi uko wapi? na yale mafanikio wanayotangaza serikali ya ccm kuwa wamethubutu, wameweza na wanasonga mbele je wamewza lipi? tafakari na chukua hatua.

Kidumu Chama cha mapinduzi mkuu na wanasema wameleta maendeleo .Lakini watu wa vijijni ndiyo wapenzi wa CCM wacha wapewe stahili yao baada ya kuwachagua .Hawana hata maji ya kunywa na sasa wana hamishwa vijiji vya warudi porini zaidi .
 

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,598
1,195
Acha tu! Ndo maisha bora kwa kila mTanzania..!

Jk yuko marekani anafanya tiba..

Angerudi kwenye kikapu ingekuwa njema tu..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom