BROKE BOYS
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,215
- 39,040
Habar zenu wanajukwaa, bila poteza muda wacha niende direct kwa mada husika hapo juu. Ni takribani miaka 4+ sasa imefika toka nifanye mapenz na demu wa rafiki yangu wa damu sana yani mpaka sasa ni mwanangu. Naweza pata shida ya kifedha ya haraka basi nikimchek hyu mwana (jina kapuni) huwa ananitumia hta iwe kubwa kiasi gani huwa ananipa no matter what coz yeye anapiga busn zake
Sasa ilikua 2012 wakt tuko form4 jamaa alikuw na dem wake alikuw anasoma shule nyingine na alikuw anampenda sana alinitambulisha kwa hyu bibie, bhs baada ya mazoea kuzid yule bibie mapenz yakahamia kwangu nikamla hyu bibie 2times jamaa alijuaa but alinisamehe urafiki ukaendelea kama kawa.
Sijamaliza 2015 tena baaada ya kumaliza 6 jamaa alinitambulisha tena demu wake mpya mwingine, hyu bibie mapenz yakahamia kwangu tena but nilijitahd sana kumkwepa lkn samaki nikanasa kwa wavu nikamla japo nilijutia sana kwa kitendo nilichofanya mpaka leo hii karma hii inanihukumu sana. Uzuri jamaa mpaka leo hajui kma nilifanya hiki kitendo.
Kwann nmeandka thread hii nikiwa naongea au nachat na hyu jamaa huwa nafeel bad sana yani nafeel hukumu nawishi nimwambie nilifanya hiv kwa yule dem lakin nashindwa kabisa kumwambia. Najamaa jana nimepiga nae story sana na akasema kesho anakuja mjin anataka twende kariakoo nkamsaidie daka mizigo yake. Nimeplan kesho nimwambie abt nilichofanya kwa yule mwanamke coz sina raha nafeel karma.
Mnanishaurije ni sahihi kumwambia?? Japo yule mwanamke hayuko nae ila alimpendaga sana mpka sasa huwa hamsahau.
GOD FORGIVE MY SINS