Saskatchewan
Senior Member
- Oct 16, 2011
- 148
- 21
Mwanafalsafa Karl Marx aliwahi kusema kuwa 'Religion is an opium of the people'. Nashindwa kuelewa alikuwa ana maana gani.
Kwa mfano dini inahubiri ya kaisari mwachie kaisari, mara mtu akikupiga kofi la kushoto mgeuzie la kulia, mara ni rahisi Ngamia kuopenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia kwenye ufalme wa mbinguni. In short Marxist wanaamini kuwa dini ni kama opium kwa kuwa inatumika kukuliwaza na umaskini wako ukiamini kuwa mwisho wa dunia kuna raha utaipata zaidi ya maisha unayoishi huku ukiendelea kunyonywa na tabaka nyonyaji linalotumia nguvu zako kujitajilisha. Marx aliamini kuwa ni material ndio zinasababisha mfumo wa maisha ya binadamu katika zama mbalimbali na dini haina nafasi bali inatumika tu na tabaka la watawala (wenye kumiliki mali) ili kuwaliwaza na kuwanyonya wanyonywaji- (NB Kiswahili changu si kizuri ila itakuwa umepata picha kidogo, subiri wataalam zaidi waje)
Alimaanisha yeye haamini dini yoyote.
Karl Max was a 32 degree freemason...he never believed in the living God though his family (parents), were Christians.
To make it clear to you Freemason is a secret society whose members worship and believe in the grand mason i.e lucifer(shetani) himself.
1. | addictive drug: a brownish gummy extract from the unripe seed pods of the opium poppy that contains several highly addictive narcotic alkaloid substances such as morphine and codeine |
2. | stupefying thing: something that has a stupefying, numbing, or sleep-inducing effect. |
nakupa tu homework, fuatilia nadhari,falsafa na miongozo ya masons ndio uulize evidence,then kwa kuwa una internet unaweza ukagoogle pia sio lazima kila kitu ulishwe...freemasons wa nje hawajifichi mkuu.una weza uka prove hii kitu?? Tupe evidence tafadhali. sababu alikufa akiwa pure socialist... Na hakuna mali aliyokuwa akiimiliki!!
Karl Max was a 32 degree freemason...he never believed in the living God though his family (parents), were Christians.
To make it clear to you Freemason is a secret society whose members worship and believe in the grand mason i.e lucifer(shetani) himself.
Freemasonry - Wikipedia, the free encyclopedia