Karl Marx alikuwa ana maana gani?

Saskatchewan

Senior Member
Oct 16, 2011
148
21
Mwanafalsafa Karl Marx aliwahi kusema kuwa 'Religion is an opium of the people'. Nashindwa kuelewa alikuwa ana maana gani.
 
Msubiri Kiranga wa JF....atakushushia nondo za kufa mtu na atajibu hilo swali lako.
 
Kwa mfano dini inahubiri ya kaisari mwachie kaisari, mara mtu akikupiga kofi la kushoto mgeuzie la kulia, mara ni rahisi Ngamia kuopenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia kwenye ufalme wa mbinguni. In short Marxist wanaamini kuwa dini ni kama opium kwa kuwa inatumika kukuliwaza na umaskini wako ukiamini kuwa mwisho wa dunia kuna raha utaipata zaidi ya maisha unayoishi huku ukiendelea kunyonywa na tabaka nyonyaji linalotumia nguvu zako kujitajilisha. Marx aliamini kuwa ni material ndio zinasababisha mfumo wa maisha ya binadamu katika zama mbalimbali na dini haina nafasi bali inatumika tu na tabaka la watawala (wenye kumiliki mali) ili kuwaliwaza na kuwanyonya wanyonywaji- (NB Kiswahili changu si kizuri ila itakuwa umepata picha kidogo, subiri wataalam zaidi waje)
 
Nashukuru sana. Atleast nimepata mwanga.
 
Alimaanisha yeye haamini dini yoyote.

Karl Max was a 32 degree freemason...he never believed in the living God though his family (parents), were Christians.
To make it clear to you Freemason is a secret society whose members worship and believe in the grand mason i.e lucifer(shetani) himself.
 
una weza uka prove hii kitu?? Tupe evidence tafadhali. sababu alikufa akiwa pure socialist... Na hakuna mali aliyokuwa akiimiliki!!
 
Marx alikuwa Atheist. Alikuwa haamini katika dini yoyote. Sidhani kama alikuwa freemason!
 
Kwa nyongeza:
Kwanza inabidi uelewe maana ya neno "Opium". Ukienda kwenye encarta dictionary ina maana hii:

1. addictive drug: a brownish gummy extract from the unripe seed pods of the opium poppy that contains several highly addictive narcotic alkaloid substances such as morphine and codeine
2. stupefying thing: something that has a stupefying, numbing, or sleep-inducing effect.
Kwa hiyo, kama alivyosema Jogermaster hapo juu, ni kwamba dini ni kama ilivyo bangi kwa anayevuta. Anaona ni kitu pekee kinachoweza kumliwaza kutokana na matatizo ya hapa duniani, especially exploitation from the capitalist (the bourgeois). Kumbuka kuwa Karl Marx alikuwa akipinga sana ubeberu na alikuwa na hoja kuwa ulimwengu utakuwa wa kijamaa baada ya mapinduzi ya kijamaa (Socialist revolution) baada ya wananchi kugundua kuwa wako maskini kwa sababu ya kunyonywa wataamka na kuungana dhidi ya mabeberu na kuwapindua.
 
Kuongezea kwa BASHANDA na wachangiaji wengine: elewa kuwa Karl Marx alikulia kwenye familia ya KIKRISTO, mara nyingi alipokuwa kanisani alijifunza kuwa wale waliowanyanyasa tabaka la chini (CAPITALISTS) ndio walikuwa mstari wa mbele kanisani ambapo upendo ulihubiriwa; huku nje ni WANYONYAJI, lakini ndani ya kanisa MAKAPITALIST waliheshimiwa sana!! Hicho ndio chanzo cha Marx kutoamin dini!
 
He means that religion is used to calm and dull the people, to put them to sleep to the realities of their unjust present lives in exchange for a fantasy dreamland of Heaven. Religion puts some people in a "dream-like" state where they are in denial of the true reality.Its like a drug that keeps people calm and happy so that they are less likely to think deeply or get pissed off at their situation and rebel. "Opiate of the Masses" is the more common form of the quote.
 
una weza uka prove hii kitu?? Tupe evidence tafadhali. sababu alikufa akiwa pure socialist... Na hakuna mali aliyokuwa akiimiliki!!
nakupa tu homework, fuatilia nadhari,falsafa na miongozo ya masons ndio uulize evidence,then kwa kuwa una internet unaweza ukagoogle pia sio lazima kila kitu ulishwe...freemasons wa nje hawajifichi mkuu.
kwani kuwa mjamaa inamzuia vipi mtu kuwa freemason? Mussolini, Stalin,Lenin wote hao walikua wajamaa na bado walikua ni freemasons
 
Karl Max was a 32 degree freemason...he never believed in the living God though his family (parents), were Christians.
To make it clear to you Freemason is a secret society whose members worship and believe in the grand mason i.e lucifer(shetani) himself.

Kwanza Marx hakuwa Freemason, pili Freemansons hawamuabudu shetani ni vizuri ujielemishe kabla ya kuvamia kila pumba unayoisoma mtandaoni, freemason sio etheist na moja za requirements zao ni uwe unamwamini Mungu wa aina fulani

General requirements

Generally, to be accepted for initiation as a regular Freemason, a candidate must:[SUP][20][/SUP]

  • Be a man who comes of his own free will.
  • Believe in a Supreme Being (the form of which is left to open interpretation by the candidate).

Freemasonry accepts men from a range of faiths, including (but not limited to) Buddhism, Christianity, Hinduism, Islam, Judaism, and Sikhism.
Freemasonry - Wikipedia, the free encyclopedia

Tukirudi kwenye topic Marx anaamaanisha dini inatumika kuwatuliza watu kama ukivuta opium (Heroin) kwa Watanzania ni ile atitude ya "Namwachia Mungu"
 
Karl Max was a 32 degree freemason...he never believed in the living God though his family (parents), were Christians.
To make it clear to you Freemason is a secret society whose members worship and believe in the grand mason i.e lucifer(shetani) himself.

Max hakuwa freemason, acha kupotosha jamii. Uongo wako kaa nao wewe. Alikuwa ni Atheist na Materialist hivyo hakuwa na vigezo vya kuingia freemasom, yeye anaamini personal God. Na pia aliwahi kusema kuwa secret societies zote ni kazi ya kikapitalisti na dini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom