Karipitalization of Tanzania - who will stop it?

Mwafrika wa Kike

JF-Expert Member
Jul 5, 2007
5,185
56
After a very long and sad week of going through the phony and exploitive Buzwagi Contract, I decided to take few days off the computer this weekend to clear up mind.

It did not take me long enough into my DVD collection to come across the famous SARAFINA - the movie. I decided to watch SARAFINA for the hundredth time this weekend. The movie that not only took me back to read the Buzwagi Contract but also carried my mind way back to thinking about the colonialization process of Tanzania and Africa.

At one scene of the movie, there is a soldier who keep saying that black students are destroying (or about to destroy) "his country"... just to paraphrase his words. I have heard the same statement before but not in the same magnitude as this weekend in the light of Article 9 of the now infamous Buzwagi contract.

Please take time to read between lines of Article 9:

ARTICLE 9 ANCILLARY LAND, FORESTRY AND WATER RIGHTS

9.1 The Government shall facilitate the development of the project and thereafter its mining operations and ensure that it is able to acquire on reasonable terms and within a reasonable time such ancillary rights to, or in respect of, land and water as are reasonably necessary for the purpose of carrying out the program of mining operations or for the purpose of carrying out any other works or infrastructure which are necessary or desirable for any mining carried out in the Contract Area

Note the words shall, ensure,acquire, etc.
And also connect those words with section 9.2 below:

9.2 If the company finds it necessary, for the purpose of building the Project and relevant infrastructure, to make use of land which is lawfully owned, occupied or under care and charge of other persons, the Government shall, upon the request of the Company, assist the Company in its effort to agree with such persons in obtaining their permission or renting or purchasing such land, and if the Company is unable to come to an agreement with such persons, the Government shall assist the Company subject to the provisions of the Act or any ammendments or re-enactment thereof in order to enable the Company to make use of such land

I thought that history would teach our leaders to not sign open contracts with our ex-colonial masters. I thought that our leaders would be careful to not repeat the past mistakes!

1. What do they mean by the words - if the Company finds it necessary for the purpose of building the project and relevant..?

2. What would stop them from claiming that the whole lake zone area is necessary for the purpose of building....?

3. What would stop from claiming that the whole region is their land and their country.... just because they bought it?

4. What is the difference between this contract and the one made up by Karl Peters and signed up by our chiefs years ago?

Tanzania is being Karl-Peterized (karipitalized) and sold for re-colonialization through these contracts. Then, we had uneducated leaders but now we have educated but selfish leaders.

Who will stop the Karipitalization of Tanzania?
 
After a very long and sad week of going through the phony and exploitive Buzwagi Contract, I decided to take few days off the computer this weekend to clear up mind.

It did not take me long enough into my DVD collection to come across the famous SARAFINA - the movie. I decided to watch SARAFINA for the hundredth time this weekend. The movie that not only took me back to read the Buzwagi Contract but also carried my mind way back to thinking about the colonialization process of Tanzania and Africa.

At one scene of the movie, there is a soldier who keep saying that black students are destroying (or about to destroy) "his country"... just to paraphrase his words. I have heard the same statement before but not in the same magnitude as this weekend in the light of Article 9 of the now infamous Buzwagi contract.

Please take time to read between lines of Article 9:

ARTICLE 9 ANCILLARY LAND, FORESTRY AND WATER RIGHTS

Note the words shall, ensure,acquire, etc.
And also connect those words with section 9.2 below:

I thought that history would teach our leaders to not sign open contracts with our ex-colonial masters. I thought that our leaders would be careful to not repeat the past mistakes!

1. What do they mean by the words - if the Company finds it necessary for the purpose of building the project and relevant..?

2. What would stop them from claiming that the whole lake zone area is necessary for the purpose of building....?

3. What would stop from claiming that the whole region is their land and their country.... just because they bought it?

4. What is the difference between this contract and the one made up by Karl Peters and signed up by our chiefs years ago?

Tanzania is being Karl-Peterized (karipitalized) and sold for re-colonialization through these contracts. Then, we had uneducated leaders but now we have educated but selfish leaders.

Who will stop the Karipitalization of Tanzania?

You just are overreacting...

Hakuna chochote..... This is different from those days za Machifu na wala wazungu hawana mpango wa kutawala Afrika...
 
Masaka,
Nadhani hukuelewa undani wa maelezo ya bibie ndio maana kasisitiza tusome btn the lines.
Hapa mzungu anayezungumziwa ni serikali ya mwafrika mweusi mwenzako!..
 
Masaka,
Tamaa ya wazungu kuchukua maliasili zetu kwa bure haijaisha. Si lazima waitawale Afrika. Leo kuna Waafrika wanaotawala kwa niaba yao. Neocolonialism.
 
You just are overreacting...

Hakuna chochote..... This is different from those days za Machifu na wala wazungu hawana mpango wa kutawala Afrika...

Masaka karibu kwanza kijiweni,
Pili na kusihi urudie kusoma vyema ujumbe wa m kike, tofauti iliyopo tu ni kwamba walio saini hiyo mikataba wakati ule ni machifu na hawakuelewa, lakini hawa wasasa wanaelewa tatizo tu ubinafsi wa kutanguliza peremende!

Kurudi kwenye hoja, nadhani wa kustop hii karipitalization ni sisi wananchi wenyewe.. tuwambie hao wpenda peremende kwamba hizo raslimali si zenu peke yenu, ni zetu wote, so enough is enough! kama tuliwakabidhi mamlaka ya jinsi ya kuziendeleza zitusaidie wote wameshindwa na kutanguliza matumbo yao mbele wakatusahau wadau wakuuu.. kwahiyo tuwanyanganye hayo mamlaka!
Na hiyo si kwa miujiza bali ni kufanya kweli 2010.

Jukumu kubwa kwa sasa ni kustuana kwamba kumekucha kwa wale ambao hawajastuka!
 
You just are overreacting...

Hakuna chochote..... This is different from those days za Machifu na wala wazungu hawana mpango wa kutawala Afrika...

Karibu sana Masaka jamvini....

Hebu soma tena article 9 ya huu mkataba uone how much power those guys wanazo. Yaani wakiamua kuwa ardhi au bwawa la maji liko kwenye interest ya biashara yao, basi serikali lazima (shall) ifanye kila kinachowezekana kuwapatia hiyo ardhi.

Je wakidai kuwa maji yote ya ziwa victoria ni kwenye interest ya biashara yao, then serikali itasema au kufanya nini?

Kipengele hiki kinatisha (so far kwangu) sijui wewe! au....
 
Mw wa Kike,
Mbona hii ilishatokea Kyarano? Mwalimu Nyerere aliwajengea wana kijiji pale waliokuwa na shida ya maji bwawa. Wakaja wawekezaji Mkapa akawagawia bwawa hilo badala ya wao wenyewe kuchimba bwawa lao.
 
Kweli Jasusi,

Hata mimi huu ndio wasiwasi wangu kuwa hii article inampa nguvu mwekezaji ku-define whatever anataka kuwa kiko kwenye interest ya business au project yake kwa hiyo kuitaka serikali ifanye kila kinachowezekana kumpatia (mambo ya bulhanyhulu).

Sishangai sana kuwa huyo mwekezaji alidai hilo bwawa la maji na wananchi wakakosa maji safi kwa sababu kama mkataba wa Buzwagi ndio umeboreshwa sijui hiyo mingine iko vipi (nasubiria leak ya hii mikataba mingine)!
 
wanachoogopa serikali ni kuwa wakijifanya wanawawekea ngumu wawekezaji basi wawekezaji watakambia hivyo na wenyewe hawataki wakimbie kama wasemavyo "moja mkononi ni bora kuliko tisa mtini"...
 
wanachoogopa serikali ni kuwa wakijifanya wanawawekea ngumu wawekezaji basi wawekezaji watakambia hivyo na wenyewe hawataki wakimbie kama wasemavyo "moja mkononi ni bora kuliko tisa mtini"...

Katika hili Mkuu Mwalimu Nyerere alikuwa ameona mbali sana kukataa madini yetu yasichimbwe hadi hapo tutakapojiridhisha kuwa tuna uwezo sisi wenywe wa kuyachimba

Kumbe tumefikia hapo pa kibaya chajitembeza'?:confused:
 
kwani hao wapumbavu akina karamavi wameshakuwa na uelewa wa madini mpaka wakimbie nakusahau viatu vyao eti wanawahi wawekezaji wasije wakakosa fursa hiyo? mbona baba wa taifa alikuwa na subira na bado uchumi wetu kipindi hicho haukuwa mbaya kufikia wa sasa?
 
Masaka,
Nadhani hukuelewa undani wa maelezo ya bibie ndio maana kasisitiza tusome btn the lines.
Hapa mzungu anayezungumziwa ni serikali ya mwafrika mweusi mwenzako!..

Mkandara,

sidhani kama issue ni mkoloni mweupe au mweusi, ni makosa kulinganisha mkataba wa Buzwagi na ukoloni. serikali imesema kuwa Buzwagi itatoa ajira 600 na baadhi ya huduma za jamii?
mbona hivyo havisemwi hapa?
 
hadi hapo tutakapojiridhisha kuwa tuna uwezo sisi wenywe wa kuyachimba

Hizo ni ndoto zako tu. Hata ipite karne 2 kamwe haiwezekani Watanzania au Waafrika wakaweza kuendesha mradi mkubwa wa mgodi wa kisasa kama ile ya Afrika ya Kusini. Vinginevyo ni sawa kabisa serikali kuwanyang'anya watu ardhi ("by any means necessary" ikiwemo kuwachapa viboko wanaoleta ubishi) kwa nia ya kuwapa Wawekezaji ili kuendeleza miradi ya migodi. The bottomline is that all land in Tanzania is government property.
 
Mkandara,

sidhani kama issue ni mkoloni mweupe au mweusi, ni makosa kulinganisha mkataba wa Buzwagi na ukoloni. serikali imesema kuwa Buzwagi itatoa ajira 600 na baadhi ya huduma za jamii?
mbona hivyo havisemwi hapa?

Kwani kabla ya Barrick (or Pangea?) ni wachimbaji (+ mama ntilie + the likes) wangapi waliokuwa 'wamejiajiri' wenyewe katika eneo hilo. Huu si ndio ujasiriamali wenyewe. Suala sio creation ya ajira au kodi ngapi zitalipwa na mwekezaji.

U have to think outside the box!
 
Ni kweli lakini huu si ukoloni kama mwafrika wa kike anavyotaka kudai hapa! Serikali ya Kikwete inafanya kazi nzuri na nimakosa kuilinganisha na wakoloni!
 
Ni kweli lakini huu si ukoloni kama mwafrika wa kike anavyotaka kudai hapa! Serikali ya Kikwete inafanya kazi nzuri na nimakosa kuilinganisha na wakoloni!

Hizi ni kazi nzuri kweli au ni babaisha bwege? Buzwagi contract; BOT; Richmonduli etc.
 
IN order to halt foreign interference in the affairs of developing countries it is necessary to study, understand, expose and actively combat neo-colonialism in whatever guise it may appear. For the methods of neo-colonialists are subtle and varied. They operate not only in the economic field, but also in the political, religious, ideological and cultural spheres.

Faced with the militant peoples of the ex-colonial territories in Asia, Africa, the Caribbean and Latin America, imperialism simply switches tactics. Without a qualm it dispenses with its flags, and even with certain of its more hated expatriate officials. This means, so it claims, that it is ‘giving’ independence to its former subjects, to be followed by ‘aid’ for their development. Under cover of such phrases, however, it devises innumerable ways to accomplish objectives formerly achieved by naked colonialism. It is this sum total of these modern attempts to perpetuate colonialism while at the same time talking about ‘freedom’, which has come to be known as neo-colonialism.

Maneno ya Nkwame Nkuruma hayo kuhusu neo-Colonialism way back 1965
 
Masaka,
Kikwete na uongozi wa leo ni neo-colonialist. They are acting at the behest and on behalf of their colonial masters be they Sinclair of Barrick, WB, IMF or the US government.
 
Post namba moja ilitia uchungu kweli kipindi hicho!!! Na sasa tunakumbuka kwa uchungu ingawa kuna matumaini kuwa rasilimali zetu kuwa kwa kiasi fulani mikononi mwetu!

Hata hivyo, kuna dalili za waliojivika uzalendo kipindi kile...sasa hivi wanaonekana "kukengeuka"!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom